Course ya sociology SAUT

Course ya sociology SAUT

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
320
Reaction score
209
Wakuu nataka kujiunga na chuo hiki mnamo mwezi wa 9 ikiwezekana, ushauri wenu tafadhali kuhusu ubora wa chuo hiki pamoja na uzuri wa course hii ili nisije nikaingia chaka.
 
Sociology ni nzuri kijana ila kama una chaneli za ajila.. Karibu ushosholojiani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sociology wanasoma wasichana mtoto wa kiume huwezi soma course ya kike Baso mbwembwe.
 
@ Malombe, nadhani huelewi soshiloji nini na ina nafasi gani ktk jamii na ktk ajira.... Mimi natoa ushuhuda wa kufanikiwa kwa kupitia BASO

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si tight saaanaaa but it is very practical kwa mfano kuchambua mambo mbalimbali ya kijamiii k.v umaskini, rushwa, matabaka, dini, maendeleo, nk kwa kutumia nadharia mbalimbali (functionalism, conflict theory, symbolc interactionism, etc).. I really recommend sociology for u

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ubora wa chuo unakuwaje? Kama chuo ni bora ila kichwa chako sio bora hicho chuo chako kitakusaidia nini zaidi ya kudisco tu na kuishia kusema ulisomaga chuo fulani... Nenda kasome wewe hakuna chuo bora ila kuna kichwa bora.
 
Si tight saaanaaa but it is very practical kwa mfano kuchambua mambo mbalimbali ya kijamiii k.v umaskini, rushwa, matabaka, dini, maendeleo, nk kwa kutumia nadharia mbalimbali (functionalism, conflict theory, symbolc interactionism, etc).. I really recommend sociology for u

Sent from my iPhone using JamiiForums

He is static,he will end up making a western oriented arm-chair type!!!!
 
Mwanaume mzima unaenda kusoma sociology,huoni hata aibu?
 
Mwanaume mzima unaenda kusoma sociology,huoni hata aibu?

hivi mwanamke akienda kusoma civil engineer au mechanical engineer mnawashangaa hivi kusema mwanamke mzima unasoma civil au mech au geology au telecom.. iweje kwa wanaume mbona mnadharau as if wanawake tu ndo wanaweza kusoma mambo hayo na wanaume hawastahili kusoma hizo kozi.
 
Acheni dharau zenu nyie
 
kozi nyepesi haiitaji msuli mkubwa...kozi 6 kwa semista..ushindwe mwenyewe. Karibu SAUT...
 
Back
Top Bottom