Msaada kwa aliyesoma VETA Chang'ombe Dar es Salaam

namriny

Senior Member
Joined
Mar 21, 2020
Posts
172
Reaction score
186
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela. Sasa nauliza ile hapo VETA ya Chang'ombe wanafundisha hayo mambo?

Msaada tafadhali.
 
Wapambaji mbona wamejaa mtaaani atateseka sana kuoambana na wajanja wa mtaaanimwaninkasomea kozi gani
 
Yapo yamejaa tele
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela. Sasa nauliza ile hapo VETA ya Chang'ombe wanafundisha hayo mambo?

Msaada tafadhali.
 
Zipo hizo kozi,aende tu akasomee,asisahau kusoma na driving.
 
Back
Top Bottom