Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

mrMaco

Member
Jun 19, 2020
90
151
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho.

Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?

Wiki iliyopita iliingiliwa na mambo mengi sana, bila shaka hiyo ni mojawapo ya sababu ya ukimya uliopo
 
Pia sikukuu ya Eid iliingilia kati
Mh sidhan kama hii inaweza ikawa sababu kubwa kwakuwa sikukuuu ya eid ilikuwa inafahamika mkuu, labda mchakato wa kuchambua wenye vigezo umekuwa mzitooo....
 
Mh sidhan kama hii inaweza ikawa sababu kubwa kwakuwa sikukuuu ya eid ilikuwa inafahamika mkuu, labda mchakato wa kuchambua wenye vigezo umekuwa mzitooo....
Tuvute subira hadi kesho tutapata majibu kamili
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho.

Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?

Serikali ya CCM? Au ya Jiwe?? Sorry kumbe siku hizi ni ya nani? Sijasikia haya maneno muda mrefu
 
Tatizo vijana hawaoni thaman ya hi kitu yaan
Vijana walijitokeza kama wote ivi kwakua mi nilikwenda kumchukulia mdogo wangu aliehitimu form 4 nilikuta watu wengi sana mpaka ikashikana kuchukua siku ya kwanza ikabidi nimwambie aje aende akuchue mwenyew na alifanikiwa ila watu walikuwa wengi mnooo
 
Back
Top Bottom