Msaada wa kufanya GMAT

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Nataka kuomba kufanya masters kwa vyuo huko Ulaya, baadhi ya masharti ni kufanya GMAT, je ni wapi ninaweza kupata tuition au wengine wanaotarajia kufanya GMAT? Nipo Dar na experience yenu ikoje? Maana nimeuliza gharama naambiwa nilipe $ 250 kama nitaregister online au $ 300 kwa kupitia wakala wao hapa bongo. Sasa ulipe hizo hela, usipoondoa inakuwaje?

Je hii GMAT ni muhimu kiasi hicho? Au ni mambo fulani ya kuunganishiana biashara!!!!!?

Wadau nisaidieni.
 
Kama unataka shule nzuri kwa Marekani lazima ufanye GMAT OR GRE
na GMAT lazima upate at least 500 score na kwenda juu ndo waweza kupata vyuo vizuri kama State Universities. Kuna vyuo ambazo havihitaji GMAT OR GRE pesa zako tu na kupata cheti hivyo siyo vizuri kabisa (Mfano ni Waziri wa Fedha Mr. Mkulo vyuo vya online, chuo kina office chumba moja tu kupokelea barua na kutuma barua pamoja na simu na fax tu.)
 
Nataka kuomba kufanya masters kwa vyuo huko Ulaya, baadhi ya masharti ni kufanya GMAT, je ni wapi ninaweza kupata tuition au wengine wanaotarajia kufanya GMAT? Nipo Dar na experience yenu ikoje? Maana nimeuliza gharama naambiwa nilipe $ 250 kama nitaregister online au $ 300 kwa kupitia wakala wao hapa bongo. Sasa ulipe hizo hela, usipoondoa inakuwaje?

Je hii GMAT ni muhimu kiasi hicho? Au ni mambo fulani ya kuunganishiana biashara!!!!!?

Wadau nisaidieni.
Inategemeana una-apply chuo gani; vyuo vingine huingii bila kufanya GMAT.
Ukilipia uka-fail itakuwa imekula kwako, kwa hiyo ukiamua kufanya huu mtihani ni vizuri ukawa serious na kujiandaa vilivyo.
Natumaini ukisha-jiregister watakutumia practice materials, otherwise kama yanachelewa pale kwa agents wa mitihani hii huwa wanakuwa na prectice materials, unalipia kidogo unapiga shule yako saafi kabisa.
Agents Dar, waweza kujaribu;
1) UDSM - computing center
2) Hamilton tutorial colleges - opposite na G8 pub/Hunters club, Kinondoni
TX
3) Kuna sehemu moja karibu na CBE, ukiwa unatokea red cross along Bibi
Titi road, nimesahau jina!

All the best.
 
Computing Center ni mpaka uende chuo au hata ile iliyoko kwenye jengo la CRDB bank ?

Kwa kweli naona maandalizi yanahitajika, kwani kupoteza 300, maanake unajiandaa kutumia $ 600.
 
Hiyo center ya Bibi Titi ni ICON, halafu kuna nyingine ipo pale Kelvin House, Nawashukuru sana kwa michango, ngoja nifanyie hizo links, na ushauri kuhusiana na vyuo, hasa kuzingatia vinavyohitaji GMAT. Vyuo ninavyofatilia ni vya scandanavia countries.

Naona maandalizi yanahitajika ya msingi
 
Back
Top Bottom