Swali kwa wana-jamiiforums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wana-jamiiforums

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tonge nyama, Apr 16, 2009.

 1. tonge nyama

  tonge nyama JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 80
  Wadau mimi nataka kutumia baadhi ya picha zilizomo humu zinazohusiana na research yangu kwaajili ya kuandika report for academic purposes. Sasa nauliza je ninayo idhini ya kufanya hivyo, au zipo copyrighted? Kama sivyo je idhini hiyo nitaipata kwa nani na kwa tumia njia zipi?

  Picha zenyewe ni zile zinazohusisha mafuriko yaliyotokea Dar wiki iliyopita.
  help please
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Wasiliana na MoDs, wangependa kukusaidia hasa invisible!
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama itakuwa ni tatizo kuzitumia.....lakini ili upate uhakika zaidi nashauri mPM Invisible a confirm!
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  wakikuruhusu pls usisahau kutanabahi kuwa source ya picha hizo ni JF. mtumie PM Robot (sijui anatumia tanesco au betri maana hata umeme ukizima yeye yupo tu) naaminia anaweza kukuruhusu.
  big time
   
Loading...