Msaada - Powerpoint Animations/Commands | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada - Powerpoint Animations/Commands

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Quemu, Apr 20, 2009.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivi inawezekana kuweza kufanya bullets kwenye ppt slide ku-appear randomly?

  [​IMG]

  Je inawezekana kutengeneza animations (or any other commands) ambazo zitaniruhusu ku-contol (kwa kutumia keystrokes) jinsi hizo bullets zinatakavyo-appear? Mfano, kama nataka Hoja/Habari mchanganyiko bullet itokee kwanza kabla ya zile zilizoitangulia, inawezekana?

  Natanguliza shukurani~
   
 2. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hakuna ppt expert humu ndani?
   
 3. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wapo wengi sana humu wataalam wa IT. Inawezekana hawajaiona post yako. Naweza kuelekeza kwa vitendo tu japo si mtaalamu wa IT but nafanya sana presentation. Ukikosa maelezo weka no yako ya simu nawezakukuelekeza practically
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM, usifedheheke moyo. Inawezekana mkuu. Sijui version gani unatumia... 2003 au 2007?
  Naweza kutoa maelezo kwa kutumia 2003... ila inabidi unisubiri kidogo ili kuyaweka pamoja. Nitakachofanya ni kuyasaka online kwanza kama yapo tayari, kama sitopata nitajitahidi kuyaandika. Otherwise, kama kuna ambaye yuko nayo kabla yangu anaweza kuyaweka. Akhsante.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM, kuna link hii HAPA nadhani inamelezo ya kutosha. Scroll hadi katikati kwenye "Order of animation effects". Naomba ujaribu kucheck kama itakusaidia..
   
 6. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ahsante Steve,

  Nitapitia hii tutorial ulinitumia. Halafu nitaangalia kama inakidhi haja yangu. Usishangae nikirudi tena na maswali mengine zaidi...:)
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ok Steve,

  I looked into the tutorial you provided. It still doesn't give me the power to control the order of animations. I want to be able to manually control how the bulleted list popup on the screen.

  My idea is to use animations to build keystrokes that will give me the ability to fully handle how the bullets popup on my slides. It is the bullet position, and not what is in the bullet, that I'm interested with.

  For example, let's assume the slide below contains answers to a question "name one forum that belongs to Jamiiforums." One student comes up with "Habari/Hoja Mchanganyiko." I want to be able to use a keystroke to display that answer. Is that possible?

  Can I assign keyboard keys (eg press 'A' for Bullet1, 'B' for Bullet2) to control how the answers will show up?

  How about VBA? Would it be easier to write a VBA code(s) for the execution?

   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sijakupata vizuri unahitaji nini,naomba unitumie maelezo yako ya kile unachohitaji.
   
 9. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it is very simple kabisa.
  mimi kwa sasa computer yangu ninmeihamishia office 2007. nimeshakuwanikitengeneza powerpoint presentation na kuzitumia kwenye seminar and so. nimejaribu hata sasa kuifungua na kuangalia kama layman nimeona bado pia iko vry user friendlier. leo niko busy sana ila kama bado utahitaji msaada hasa kama na wewe uko kwwenye office 2007. nijulishe. ikiwa uko kwenye 2003. itabidi nitafute computer za zamani nikusaidie.just pm me. pia hata access ukitaka kufundishwa how to design. do not hesitate.
   
 10. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Msindima,

  Ninahitaji kutengeneza slide ambayo nitaweza ku-manually control jinsi fields zinavyokuwa displayed. Ok, Idea yangu ni kwamba niwe na slide ambayo ninapoi-display mwanzo iwe in-appear blank. Halafu kutokana na jinsi ya mlolongo wa presentation unavyokwenda, nataka niwe naweza ku-display fields randomly, bila ya kufuata a ppt traditional way (1,2,3,4).

  Kwa hiyo, natafuta mbinu itakayoniwezesha ku-assign keystrokes kwenye keyboard (letters) kwa kila field position. Hili, kila ninapotaka ku-display certain field, nifanye kubonyeza letter tu.....and boom there is the field.

  Sijui nimeeleweka?
   
 11. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nina both 03 & 07. Kwa hiyo, nipe darasa...

  Nyongeza - unafikiri ninaweza ku-build ninachokihitaji kwenye Excel, halafu nika-link template na powerpoint? Najua ninaweza ku-build in excel kwa kutumia formulas.
   
Loading...