Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by qwerty3, Apr 6, 2009.

 1. q

  qwerty3 Member

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili. Na kama bado, ina maana gani? na Ina picha gani kwa Mzumbe University kwa ujumla? Hili si jungu...ni utafutaji wa ukweli...

  Mkereketwa!
   
Loading...