nahitaji colle/unv/institution

Kampton

Member
Apr 6, 2009
22
0
kinachota elimu ya vitendo zaid na vyeti vyake vinakubalika zaidi katika fani ya IT kwa ujumla kiwe cha mtaala wa nje ama ndani lakini kiniwezeshe kufanya kazi popote duniani bila mizengwe
 
Kama wewe huwezi kusoma ukafaulu kupata hicho cheti ni swala jingine sio swala la kutaka tu....Je wewe uko tayari kufanya yanayo takiwa..kuna MCSE,MCDBA etc unakuwa recognized kote...So akili kumkichwa...soma post ingine nimejibu kuhusu ni vyuo gani...
 
asante but mimi nimetakata chuo kinachotambulika na sio cha kitapeli tatizo sio kozi kuwa mwelewa ila asante and i prefer most degree au adv diploma
 
Back
Top Bottom