Materials za shule za sekondari katika internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Materials za shule za sekondari katika internet

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kaa la Moto, Jun 21, 2009.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Watu wengi wanafaidi kwa kupata materials ya masomo katika mitandao na inawasaidia kuwaongezea kitu katika elimu yao.
  Nimejaribu kutafuta materials za masomo mbali mbali toka kwa walimu na watanzania wengine wanaotoa masomo yao katika mitandao kwa ajili ya sekondari sijafanikiwa.

  Mwanangu amekuwa na uhitaji wa kujisomea katika mitandao masomo yake ya sekondari lakini nimeshindwa kumsaidia.

  Mwenye kuelewa sites zinazoweza kumsaidia kupata masomo na vitabu kwa ajili ya masomo ya sekondari, yaani, Maths, Chemistry, Physics, Biology, English, History, Geography, Kiswahili, civics, Principles of accounts na commerce.

  Najua mengi yanayopatikana ni kwa wanafunzi wa nje ya Tanzania. Je kwa walimu wa Kitanzania vipi tunaweza kupata pia?

  Nitashukuru kwa atakaemsaidia.

  MF
   
Loading...