Korea kusini: Maisha na masomo yakoje huko?

iceberg

Member
Feb 11, 2009
7
0
Msaada kilimani jamani.....Kwa wale wote waliowahi kusoma na kuishi Korea Kusini (na wale ambao bado wako huko pia,au yeyote yule mwenye taarifa husika), naomba taarifa zozote ambazo ni muhimu kujua kwa mtu mwenye mpango wa kuja huko kusoma. Yaani zile "Dos and Don'ts"
 
Back
Top Bottom