Please I need your advice.....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please I need your advice.....!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MwanajamiiOne, Jun 18, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jun 18, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Habarini ndugu zangu
  Tafadhalini I need your advice

  I have been in an academic career for quite a long time, more than 5 years in social science field, and I am really bored to the extent that I dont want to picture myself in a PHD program in the same field. I have this feeling that where I am right now is not my place. I need something which is more challenging and a thing to put me in a more challenging career.

  I have been thinking of going for an MBA course or law field.

  Please would you advice me on this? am I making a big mistake or not.

  Kifupi nimekuwa bored sana.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh napata picha utakuwa uli aply vyuo zaidi ya 2 ukawa unasubilia bahati yako wapi utapata chuo ikadondokea huko sasa yawezekana ulienda kusoma kozi hiyo sio kwa matakwa yako bali upata chuo.
  Hii kitu inawatokea wengi sana baadae wanajuuta wanajikuta haikuwa chaguo lao.
  Bongo tambalale mama utaweza tu kubadili mbona watu wachungaji alafu wanajikita kwenye siasa. Ngoja watakuja wadau hapa kukupa mchanganuo.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 18, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Fidel inawezekana kuna ukweli kwako but no mimi niliapply chuo kimoja na ajabu ni kuwa wakati nasoma nilikuwa naenjoy sana as I was really in love with the field and hata nilivyomaliza I felt obliged kufundisha the same but now najiona kama ninajiunderuse kwa capacity yangu (si kwamba nina akili san ano) bali nadhani nahitaji kitu cha kunichangamsha niwe more active. Kwa sasa ninaweza kwenda darasani bila hata kusoma na bado nikawa na uwezo wa kufundisha vizuri kabisa but now I need a change of career.

  Sijui kama naeleweka
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Nimekuelewa Mwanajamii!
  Sasa inabidi ulipende somo tu kama ulivyo kuwa ukilifrahi awali kwani nini kilicho kufanya kuwa bored au kuna watu wamekukatisha tamaa?
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jun 18, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kusema ukweli hakuna kilichonikatisha tamaa pamoja na kuwa maslahi si mazuri kiiiivyo mie mwenyewe nimeridhika ila tu najihidi kama sipati changamoto ya kutosha. Ingawaje nawezasema kuwa ni sehemu ambayo iko free sana kama mtu unachakarika una uwezo wa kureap a lot but kwangu bado I feel a gap!!

  Inawezekana pia nina matatizo but I just wanted to share so that I get an intelligent advice.

  Sijui Woman of Substance yuko wapi.....:confused:
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mwanajamii are u working ,currently?
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ngoja nimtafute WOS naona atakuja na suruhisho Mwanajamii usihofu.
  Lakini fanya hivi nenda kasome tu Kwa kozi yako hiyo hiyo utakuwa busy tu mama.
  Kama ujuavyo hata mkiwa wapenzi iwa inafika point mnachokona then mnarenew mnaendelea kama kawa mnaenjoy hii inatokea hata kwa wale wanao pendelea kutumia Pepsi kila siku inafika kipindi anabadili ana onja hata CoKe Cola sitaki kwendelea naweza nikaharibu.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hi dia

  Mbona hujanitafuta mimi? anyway cha muhimu labda ungeweka wazi unapenda vitu kazi gani ama fani gani....kama unafikiria kutengeneza pesa nadhani sheria si mbaya, kuna mambo ya public health, si lazima uwe na back ground ya afya, vitu kama health informatics is very challenging na is the tomorrows future....

  Mas
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hehehe akutafute wewe thubutu.
  Usije ukamshauri maswala ya kujiexpress bure.
  Akisikia Bellies itakuwaje?
   
 10. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  WOS....yupo kule kwenye wizi wa posts kastack pale.....naona atakuwa busy na issues nyingine tofauti na JF!

  Mj1...kwa mtazamo wangu wewe umechoka kushika chalks si kingine hilo ndilo limekubore sana!

  Ushauri wangu unaweza ukafanya PHD ya the same course then baadaye ukaingia kwenye mambo ya siasa au ukaingia kwenye harakati kama kina mama Kijo Bisimba au kina Nkya au wale wa TGNP wengine ukadeal na social issues 100%.

  Kwenda kufanya MBA does't guarantee you kuhama field uliyopo sasa...unaweza ukahama field lakini itakuchukua muda sana kufanya hivyo....coz na huku kny business & commerce wanahitaji experience as well.....ila sema kama umechoka kufundisha social science ukifanya MBA utapata vyuo vingi sana vya kufundisha masomo ya biashara e.g OUT, Tumaini, IFM, CBE etc....hapo ndipo unaweza kutoka kirahisi!

  Again kama nafasi na uwezo wa kufanya PHD kny field uliyopo sasa upo....nakushauri kakamate jiwe hilo haraka njoo nalo mtaani...mammy!

  Cheers!
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jun 18, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yes I am Geoff. But i see my morale going down as days goes on.
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Shosti!
  Nilikuwa sjakusoma..leo nimekuwa busy sana kuliko kawaida... ngoja nikusome vizuri halafu nami nitakupa mawili matatu.
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  kuna njia mbili au tatu ninazoziona mimi:
  1.Kama unatafuta challenges zaidi na uko kwenye academics.... umeshajishughulisha na research kwenye multi-disciplinary setting? Najua research teams nyingi kama siyo zote siku hizi wanataka kuangalia masuala mtambuka ( cross-cutting) na kwa msingi huo nakuona ukifit vizuri sana.Uzuri wa hii ni kuwa utachanganyika na watu wa fields/disciplines tofauti na itakupa changamoto katika mitizamo yako.Utakuwa na fursa kutumia elimu yako na taaluma/profession yako lakini kwa mapana zaidi.
  2.Unaweza kubadili kazi kabisa, ukajiunga kufanya kazi katika masuala ya kimaendeleo (development management) na kazi zipo nyingi ni kiasi cha wewe kujibadili kutoka kufundisha na kuingia kwenye applications zaidi.
  3.Jitose kwenye PhD - Hii itakufanye uwe nje ya darasa kama utasoma full time au uzame zaidi kwenye kile ukipendacho.Changamoto hapa ni kama una familia na inabidi uondoke kwenda kusoma mbali na familia - ila ukipata scholarships kama za Ford Foundation utapata na support kwa ajili ya kuongozana na familia.

  Kuhusu kusoma MBA - hii kwa sasa imekuwa kama fasheni - kila mtu sasa unasikia anasoma MBA - lakini je wewe unataka kufanya nini na hiyo MBA yako? Nitakushauri ukae ujiulize hili swali kwanza.
  Kuhusu kusoma Law - Suali langu ni je unataka kusoma kwenye level ipi?
  Asante..
   
 15. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  "Choose a job you love, and you will never have to work a day in your life." -- Confucius
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unafikiri Mwanajamii1 hapendi kujiexpress!!! wakati mwingine kupasha moto uporo inaruhusiwa mradi usishikwe teh teh teh teh am kidding!
   
 17. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You are not challenged anymore. From what i can gather from your responses you know your subject well! Yeah, when you can teach in your sleep it's time to get something to motivate you. Some challenge.
  Wherever you are you can always find something challenging within your environment.
  A change will only make you the best at what you do.

  How about working with Women to empower them?
  Law seems like a good choice. Become a Rights advocate, children, Womens, Refugee just to name a few.
  Good Luck!
   
 18. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Habari nzuri.

  Sijui which part of social sciencies are you in. Kama upo katika area ambayo unaweza kujiajiri katika private sector or through NGOs, Trusts, Foundations, companies, non for profit companies e.t.c ninashauri uende huko. Nchini kwetu ni kwa kufanya kazi tu katika private sector/private companies na hasa ukijiajiri mwenyewe, ndio kuna changamoto kubwa zaidi (challenging responsibilities). Ukiwa smart na mchapakazi kweli kweli, kuna a lot of potentials hata za kukupatia kipato bora zaidi. You are to be determined and work really hard, very hard.

  Kwa mtu professional and ambitious ogopa sana kufanya kazi na mashirika ya umma au public service kwa ujumla. They will kill your potentials. They will never seriously recognize your individual contribution/capabilities and reward you fairly/accordingly. Ni mizengwe mingi huko. Ubabaishaji. Hakuna career development ya maana huko. Nahisi ndicho kinachokuboa pia.

  Naamini kama wewe ni mchapakazi kwelikweli huhitaji kubadili fani kwa sasa bali kuikomaza fani yako kwa kusomea zaidi specialty yenye interest zaidi kwako. Nakubaliana na WOS unapofikiria kubadili fani.

  Ni mtizamo tu.
   
 19. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimeelewa kwamba:
  - Una mpango wa kujiendeleza zaidi kielimu.
  - Ungependa kusomea jambo lililo tofauti na field uliyomo.
  Mpaka hapo sioni tatizo lolote. Mistakes inaweza kujitokeza kwenye uchaguzi wa path utakayoamua kuchepukia; if you neglect your passion for instance.

  Kuna maneno yametajwa tayari:

  • Motivation and
  • Challenge
  It is your responsibility to create motivation. You need to think of ways to do that even in your current field.
  Where to find challenges?
  You are not likely going to find motivation if there are no challenges in what you do. I would say "Solve problems". Lack of motivation will no longer be something to complain about, unless you work on something you're not passionate about.


  Swali:
  How are you planning to utilize the potential you already have? (your current expertise and experience).
   
 20. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Swali muhimu hilo.
   
Loading...