Jamani , Ninaona ni muhimu sisi tuelimishane !!
This is true and this has happened and is still happening in Tanzania
Hawa watu wanaofanya huu upumbavu wengi wao ni wageni -wachache ni...
Prof. Mondo Kagonyera addressing the Open Minds Forum at the Imperial Royale Hotel, Kampala on Wednesday
By Raymond Baguma
and Brian Mayanja
MAKERERE University is declining into...
***IT'S RELEVANT TO OUR YOUNG BROTHERS AND SISTERS***
Its Never Too Early: Ten Tips to Help Your Child Prepare for College
* Written By: Jeff Haig - Educational Author and Consultant...
Habari waungwana!
Hii ni kwa wale wote ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge hapa Dar es salaam.Kumekuwa na mkakati wa kutafutana ili tuweze kufanya REUNION kubwa mwishoni mwa mwaka huu...
Kwa wale waliosoma Same boy's Sec 1990 then kuwa mix skuli ( both gender ) around 1993...... tujikumbushe siku hizo.. Sisi ndio tuliokua kidato cha mwisho kilichoingia skuli hapo kwa jina la Same...
Nimemaliza mwaka wa kwanza medicine ila ninaweza chagua kuendelea mwaka wa pili na Medicine au Dental Surgery.MD ni miaka saba na Dental Surgery ni miaka 5(Sio Tanzania tafadhali).Naombeni...
F. Womakuyu
7 July 2009
Kampala OVER the years, Uganda has seen the demise of many of its public schools. Below are some Kampala schools that have been forced to close to pave way for private...
Wajameni,
Nilipokuwa mdogo, kaka yangu alinililia nije nisomee uganga ila mie nikaogopa damu. Sasa kama jirani yako hapo ulipo kuna kijana anasomea Uganga, basi mwaweza wapatia hii kitu wakasoma...
[COLOR="Blue"]Heshima Mbele Wadau!!
Wakuu mimi nipo Med School kwa sasa.Nina mpango wa kufanyia clinical practice(elective clerkship) South Africa.Nimeshatuma Maombi University of Cape...
I like to inform those who are interested in doing PG courses (Masters or PhD) in Energy or Environmental sector; that there are number of scholarships tenable in THAILAND at the Joint Graduate...
Nature Cycle: Organic Farming In Tanzania
Telesphor R. Magobe -
Environmental degradation in Tanzania is increasing at an alarming pace due to mainly human factors. Destructive human activities...
Msaada kilimani jamani.....Kwa wale wote waliowahi kusoma na kuishi Korea Kusini (na wale ambao bado wako huko pia,au yeyote yule mwenye taarifa husika), naomba taarifa zozote ambazo ni muhimu...
The English edition of Wikipedia Encyclopedia contains around 3 million articles as of now and if someone were to print the entire Wikipedia encyclopedia into a book, the size of that book would...
Wakuu,
Watu wengi wanafaidi kwa kupata materials ya masomo katika mitandao na inawasaidia kuwaongezea kitu katika elimu yao.
Nimejaribu kutafuta materials za masomo mbali mbali toka kwa walimu...
Ukisoma maswali ya mitihani inayotungwa hapa nchini, hasa kwa lugha ya Kiingereza katika vyuo vya elimu ya juu na sekondari, utakuta mara nyingi maneno yanayotumika ni kama vile: what is…...
Hivi mnjua kuwa nchi nyingi tunazitambua kwa majina yao halisi, kama Kenya ni Kenya tu
Zambia ni Zambia tu
Angola ni Angola tu
Lakini Mozambiki inakuwa Msumbiji imekaaje hii jamani?? Kwani hata...
Habarini ndugu zangu
Tafadhalini I need your advice
I have been in an academic career for quite a long time, more than 5 years in social science field, and I am really bored to the extent that I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.