Mitihani ya kidato cha nne 2009 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani ya kidato cha nne 2009

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sipo, Oct 5, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne ambao wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya ngazi hii. MUNGU mwenye rehema na neema awatangulie katika mitihani hii. Amen
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nami naungana na wewe kuwatakia ndugu ze2 wote wa form 4 mtihani mwema, bila kumsahau mdogo wangu.
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Nami nawatakia kila la heri, ila wasianze ujinga wa kuiba papers!
   
 4. k

  khalids19 Senior Member

  #4
  Oct 5, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  paper kupata sio ujinga kama mtu ana maswali ya kesho ya english ya essay ur welcome..
   
 5. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kila lakheri ila mjitegemee msitumie honda
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Out here maisha ni magumu...majuto ya kuchezea shule huja baada ya kuhangaika baada ya kumaliza..ukaona wenye shule zao wakipata wewe unahangaika.
  So keep focus and dont panic.
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimepata habari kuwa sasa hivi kuna mitihani tofauti kati ya private candidates na school candidates. Sijui kama hii itapunguza wizi wa mitihani au la?
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  inaweza kuwa ujinga mkubwa tu manake ukizoea hii tabia baadae itakugharimu sana maishani mwako utazoea kuiba iba na kupenda kupewa vitu pasipo ku-struggle sasa mwisho wake ni kutoa rushwa na kuishia kutoa rushwa kwenye kila jambo. Jitahidi kujiandaa kwa kila jambo hii itakusaidia kuacha kutpenda kutumia nyenzo na kutokuwa tegemezi
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hapa umenena mkuu vijana wengi huwa hatujui hili mpaka litukumbe ndio utaanza kusikia 'LAITI NINGALIJUA'. it doesn't help wakati huo wandugu
   
Loading...