Mfuatiliaji
Senior Member
- Jun 5, 2008
- 153
- 33
wajameni naomba kwa mtu mwenye taarifa au kujua center nzuri kwa kwa ajili ya kujifunza masuala ya IT/course zilizo africa especially kenya na south africa aniarifu kwani nahitaji kuongeza ujuzi katika sector hizo