DR GEORGE NANGALE ana Phd ya toka chuo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR GEORGE NANGALE ana Phd ya toka chuo gani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanamasala, Oct 2, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Namfahamu George,sasa ni mbunge anawakilisha tanzania Africa Mashariki.Niliposikia ana Phd nilishangaa!Wana JF mnajua amepata toka wapi?
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sasa kama unamfahamu mbona unatuuliza sisi?
   
 3. w

  wasp JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hujui jinsi jamaa wa SISIEM wanavyopenda kuitwa madokta kwa PhD feki. PhD yake ni kama ile ya Kamala, Nchimbi, Nagu etc. Pay a few quids and get it with no sweat.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180

  Huyu nae ni kilaza kama wana CCM wenzie kweye quotation hapo juu. Ilibidi atafute PH.D fake kabla ya kugombea ubunge wa Afrika Mashariki kwani alijua angepambana na wasomi walioiva; lakini kwa vile CCm ni chama cha mafisadi wabunge wao wakawachagua watu wenye degree fake yeye na mwingine aitwae Masaburi[ nae PH.D Fake] ndio wanaotuwakilisha kwenye bunge la Afrika Mashariki.
   
Loading...