I have been impressed with the speed on the establishment of institutions of higher learning in Tanzania. I recall when I completed A'levels in the early 90s we only had 2 institutions of higher...
tunaposema elimu tupo nyuma angalia huu uwiano kisha ingia ktk website uone ni vipi tunatakiwa tukimbie!! UDSM some how kwa wanyonge hatupo nyuma, na kidunia tupu top 5000 universities, haya...
Chuo Kikuu Tumaini kimepandisha ada kutoka 1,500,000/= hadi 2,500,000/=.Hii haitakuwa pigo kwa walalahoi? na nini maana kwa Serikali kuondoa kodi kwa taasisi za dini?
Monday, 17 August 2009 06:36
1. Makerere University
2. Kampala International University
3. Kyambogo University
4. Uganda Martyrs University
5.Uganda Christian University, Mukono
6.Nkumba...
Nawaza kwamba mfumo wa Elimu ya msingi hapa Tanzania unashida.
Unahitaji marekebisho makubwa.
1. Naona kwamba ufumo huu una upungufu mkubwa katika matumizi ya Lugha.
Kuendelea kusisitiza...
Hii inatufundisha nini haswa?
Katika matokeo ya Form 4 yaliotoka miezi michache iliyopita Mwanafunzi kutoka shule ya Kata Aibuka kidedea aongoza hesabu Tanzania nzima, ni kutoka katika Wilaya ya...
Sayansi ya Maumbile (Natural Science)
Katika sayansi asilia, baada ya kuelewa maoni ya waandishi wa Kigiriki, Waarabu nao walianza kuitafakari na kuichunguza (nature) asili ya maumbile na kutoa...
Wanavijiji wanafyatua matofali. Wanajenga madarasa. Wengine wanachanga fedha za ujenzi. Wapo wanaoajiri walimu maana waliopo hawatoshi. Wananchi wadadisi wanauliza Serikali iko wapi? Wanajibiwa...
Wadau tufafanulie kuhusu hili.Sifa inayojulikana kwa wanaoomba Elimu ya juu ni Kidato cha Sita,Kidato cha Nne na Stashahada ya B grade.Lakini kuna Watu niliosoma nao wamepitishwa na NACTE kwa...
Chuo kikuu cha Waislam kilichoko Morogoro kimetangaza kozi mbali mbali kwa mwaka 2009-2010 kama Kozi za Sheria-Law,Business Administration,Education,Mass Communication n.k.
website ya chuo ni...
WanaJF, nimeona niwashirikishe kuhusu hili linalonisumbua muda kidogo kwani muda unaelekea ukingoni sasa. Mimi mwanaJF mwenzenu nimefanya application nyingi kwa ajili ya admission vyuo mbalimbali...
Wakubwa nina uhakika kwamba humu ndani kuna idadi kubwa mno ya wazumbe,Na wengi wao wapo kwenye vitengo muhimu ndani na nje ya nji hee(hehehe).
Sasa nina hii mission,Kwanini tusijiunge pamoja...
hello, jamani nimewamiss shycomists. japo tukumbushane mambo ya kisamurai, jogging, flavour juction na possesion. mpo.......?
haya jamani karibuni jamvini
Kwa mnaokumbuka,
wana-kagera na wote wenye mapenzi mema walikusanyika kwa jitihada zote kwenda diamond jubilee (kama sisahau) kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidiia maendeleo ya elimu mkoa wa...
Scholarships go beggingProf Jumanne MaghembeBy Flora Nzema, Tumaini University
Hundreds of foreign education scholarships meant for Tanzanian students expire every year without being granted to...
Hi,
Join the world recognized MBBS program in Ukraine.
You can now earn your MBBS degree at an expense less than 30% by doing it in one of the most reputed universities in Ukraine with...
Mimi sio mtaalamu wa masuala ya elimu , lakini kuna suala moja limenigusa nalo ni hili la shule za kata , katika miaka karibu 5 iliyopita shule za kati zimekuwa kwa wingi sana hapa nchini , watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.