Undergraduate Thesis Topic suggestions!

mwantumu

New Member
Oct 14, 2009
1
0
Tafadhalini wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu kwa kunipa suggestion kwa ajili ya Topic kwa ajili ya thesis yangu! Kama nilivosema ni undergraduate thesis kwenye mambo ya IT especially Networking, Database au ERP systems. Aksanteni! Najua yafaa kukaa Jukwaa la Elimu lakini naomba ikae hapa kwa muda tafadhali!
 
mwantumuJunior Member
Join Date: Wed Oct 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Jamani, embu wa field ya IT Msaidieni huyu mgeni wetu, japo tayari ameingia hadi chumbani... na anaonyesha kujua vitu kedekede vya JF!...LOL!Mi kimsingi nakukaribisha , sijui ni mdada, sijui ni mkaka...karibu mwaya, siku nyingine ukumbuke kupiga hodi eeh!
 
Tafadhalini wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu kwa kunipa suggestion kwa ajili ya Topic kwa ajili ya thesis yangu! Kama nilivosema ni undergraduate thesis kwenye mambo ya IT especially Networking, Database au ERP systems. Aksanteni! Najua yafaa kukaa Jukwaa la Elimu lakini naomba ikae hapa kwa muda tafadhali!

Unaingia hadi chumbani bila hata kugonga mwaya siku nyingine utakuta hatujavaa nguo au tuko katika yale majambozzzz.
 
Tafadhalini wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu kwa kunipa suggestion kwa ajili ya Topic kwa ajili ya thesis yangu! Kama nilivosema ni undergraduate thesis kwenye mambo ya IT especially Networking, Database au ERP systems. Aksanteni! Najua yafaa kukaa Jukwaa la Elimu lakini naomba ikae hapa kwa muda tafadhali!

Ningependa kukusaidia lakini kwanza unasoma shule gani na iliyopo nchi gani?
 
Big-up mkuu Zakumi. Na umsisitize sana huyu asi`concentrate kwenye Avatar yako, maana hatakuamini...inatishatisha kidogo Mkulu!
 
Mimi huwa nafikiri thesis mtu unaandika kwa kuangalia ni kitu gani kimekusisimua au kukukera katika somo lako, na unataka kufanya nini kukipalilia au kurekebisha huo msisimuko au hilo kero. Watu wengine watawezaje kukupa ushauri? Je umejaribu kuongea na mshauri wako wa taaluma? Unataka nani afaidike na huo uchambuzi wako?( nikiwa na maana kuwa Tanzania, nje ya Tanzania) Unataka kuandika kama technical paper au policy paper. Nakushauri uongee na mshauri wako wa taaluma.

Hongera kwa kutimiza sehemu ya elimu yako.
 
Unapoomba ushauri manake hujui unataka kufanya nini baada ya kumaliza masomo. Thesis inatakiwa ikutayarishe aidha kimasomo au kimaisha. Kimasomo manake unatakiwa uchague topic ambayo itakupeleka kwenye area of interest, kwa hiyo unatakiwa ujuwe ni area gani unataka uwe mzamivu. Alternatively ungeweza kuchagua topic ambayo itakuingiza moja kwa moja kwenye labour force; kwa mantiki hii utachagua topic ambayo inalenga kampuni au taasisi unayotaka kuifanyia kazi.
 
Underage huyu mazee, wewe msaidie tu! Usiweke masharti ...vinginevyo mPM

Kwenye thesis kuna za theorical na za applications. Theorectical unaweza kuziandika mahali popote pale. Lakini za applications zinategemea na sehemu, wakati na resources.

Kwa mfano katika applications anaweza kuchagua ERP implementation ya student loan. Kwa hapa mtoni, application loan ERPs zimeshafanyiwa kazi. Lakini kwa Tanzania uwanja ni mkubwa sana.
 
I am civil-mining engineer.

Kama uko nje ya nchi , make sure you find a topic that is compatible with our level of tehcnology.

Kama uko Tanzania, is good,

1. Find out, or engage with Baraza la mitihani uone ni kwa namna gani, kwa gharama gani, na faida tunaweza, tukaandaa networking system between secondary schools. Then hiyo networking hiyo itasaidia kuwa na uwezo wa ku-print mitihani at the same time. lengo ni kuzuia uvujaji wa mitihani.

Sio lazima shule zote unaweza ukanza na shule chache

2. Fanya namna ya wananchi kuweza kupiga kura 'screen touch' then matokea ya kupiga kura hayatasubiri siku moja au mbili, watu wanamaliza kupiga kura , tunajua matokeo.

3. kwenye mobile phone kuna huduma nyingi,kama yellow pages, kupata meseji za verses za love, bible au quran, I believe we may have many related services hat you can think of......,
Pia nenda serikalini, lots of department need database, say
uzazi na vifo
mambo ya ndani(waombaji wa passport)
Criminal records
Colleges

n.k

Note that I am not aware about IT and in general

However;

cheers
 
Jamani sikuhizi hivi vyuo tunavyosoma ni balaa! Yaani watu tunasoma soma tuuu ili mradi eti chuo!! kwa nini usiangalie credibility yake kabla ya kujiunga!!? vyou vingine havina hadhi kabisa.!!
Sasa we she/he hujui kwamba thesis ni document ambayo inatakiwa kuandikwa base on your OWN INTEREST au kama ni donor, sponsor au organisation then ita-base kwenye interest zao, hukufundishwa hilo? Pili umetaja sijui unasoma kwenye fani gani gani sijui huko.. lakini bado hatuwezi kujua ni modules gani kwenye hiyo fani yako ulizosoma, na thesis inatoka kwenye hizo modules. Hata supervisor wako humuulizi'eti niandike nini vile' sasa maana ya kuwa wewe mwanafunzi ni nini?Ebu acha uvivu na uzembe rudi kaa tulia tafakari nini unataka,kifanyike lini, wapi kwa muda gani na kwa faida ya nani, na siyo kutaka kutafuniwa. Ukishapata wazo ndiyo uulize watu ebo! uvivu tuu!
 
Chagua topic ambayo upo interested nayo na uwe specific kwenye hiyo topic.
Ukisema kila mtu akupe suggestion hapa wanaweza kukupa suggestion ya topic ambazo wewe haupo interested nazo.
 
Unapoomba ushauri manake hujui unataka kufanya nini baada ya kumaliza masomo. Thesis inatakiwa ikutayarishe aidha kimasomo au kimaisha. Kimasomo manake unatakiwa uchague topic ambayo itakupeleka kwenye area of interest, kwa hiyo unatakiwa ujuwe ni area gani unataka uwe mzamivu. Alternatively ungeweza kuchagua topic ambayo itakuingiza moja kwa moja kwenye labour force; kwa mantiki hii utachagua topic ambayo inalenga kampuni au taasisi unayotaka kuifanyia kazi.

Tawire Mkuu, you are right on the money!
 
mwantumuJunior Member Join Date: Wed Oct 2009Posts: 1 Thanks: 0Thanked 0 Times in 0 Posts Jamani, embu wa field hii Msaidieni huyu mgeni wetu, japo tayari ameingia hadi chumbani... na anaonyesha kujua vitu kedekede vya JF!...LOL!Mi kimsingi nakukaribisha , sijui ni mdada, sijui ni mkaka...karibu mwaya, siku nyingine ukumbuke kupiga hodi eeh!

Wacha uswahili
 
Unapoomba ushauri manake hujui unataka kufanya nini baada ya kumaliza masomo. Thesis inatakiwa ikutayarishe aidha kimasomo au kimaisha. Kimasomo manake unatakiwa uchague topic ambayo itakupeleka kwenye area of interest, kwa hiyo unatakiwa ujuwe ni area gani unataka uwe mzamivu. Alternatively ungeweza kuchagua topic ambayo itakuingiza moja kwa moja kwenye labour force; kwa mantiki hii utachagua topic ambayo inalenga kampuni au taasisi unayotaka kuifanyia kazi.

Very good observation.

Kwanza nadhani huyu anazungumzia dissertation sio thesis.

Pili, fursa ya kuchagua topic ya dissertation ni fursa adimu sana ambayo sisi wengine hatukuweza kuipata kutokana na sababu moja au nyingine. Kwa mawazo yangu kupata topic sio kitu kigumu kwa mwanafunzi anayejua vyema fani yake, na wala huitaji kuwa astrophysicist kujua fani yako inahusika na kutatua matatizo gani ktk jamii.

Kutokana na matatizo au motives ndipo hapo watu huwa wana-brainstorm research questions etc etc etc.

Kwa kifupi huyu mleta hoja amenidissappoint sana.
 
Usiyeleta uswahili, hivi kuna tofauti gani kati ya thesis na dissertation?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom