Tujikumbushe Aga Khan Mzizima Sec School..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Aga Khan Mzizima Sec School.....

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by epigenetics, Jul 28, 2009.

 1. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Vijana wa Thind mpoooo?
  wale wa PCM Mwalimu Murray yu wapi sasa?
   
 2. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tupo mwana, mi nilikatiza kwa Thind miaka ya tisini mwishoni (PCM), hivi Mr Katri bado yupo? ukisikia mwalimu msela ndio yule lakini Biology ya O level imetulia kichwani. Na Mr Mzee bado yupo?
   
 3. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umenikumbusha mambo ya Food Bazaar, talent show na sports day (Kagera House, Ruvuma House na Rufiji House), mi nilikuwa napangwa kagera house karibu kila mwaka
   
 4. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wa Mr. Johnson na Acharya hapa?
   
 6. s

  smp143 Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ahh umetukumbusha wakati yetu Mzizima...Sports day, food Bazaar, Variety Concert Diamond Jubille...Pangani House ilikuwa my house...Nilipika PCM 1994-1996..Mr Thind( Babu) alitufundihsa Mathematics, Mr Murrray Physics and Chemistry alitupigia Mr Champsi..Hiyo ilikuwa Kikosi Tishio hapo...Kila kitu ilikuwa rahisi..Nilipita shuleni mwezi wa Mei mwaka huu wakati wa likizo Bongo..Shule haadhi yake imeshuka sana..hakuna nidhamu wala nini...Mr Thind yupo London...
   
 7. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  The motto was (is)

  ''Better always better''.


  Nilisoma high school hapo, mwalimu wa Economics alikuwa Acharya ( kabla hajawa head master)

  Naishukuru sana Mzizima wakati huo ilikuwa labda shule pekee ya private kwa high school.
   
Loading...