Need a research topic for my MBA dissertation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Need a research topic for my MBA dissertation

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Brooklyn, May 19, 2009.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  WanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!

  Naombeni msaada wenu katika hili tafadhali coz time inakimbia sana. My area of interest is finance/accounting na nafanya MBA-Finance and Banking.
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  angalia umuhimu wa topic; hata kama imefanywa kama bado kuna maswali hayajajibiwa unasema wewe unataka kuyaadress hayo masuala; au kama utafiti uliopita ulikuwa na mapungufu, wewe utaweza kuya-address nadhani possible kufanya; ama umefanyika utafiti usio wa kutosha kwa hiyo unataka ku-add kwenye knowledge iliyopo - all in all kuna sababu kibao waweza kuzisema ili ufanye huo utafiti wako.
  pia angalia, je, hiyo topic ni issue muhimu?
  na interests zako pia.
  ili kujua kama utafiti umefanyika na nani kafanya, inabidi ufanye kitu kinaitwa literature review, inabidi uwe mtu wa library kichizi, lakini siku hizi kuna journals kibao ziko online pia waweza kukaa kwenye mtandao ukatoka na literature gunia!
  kazi kwako, usiwe mzembe, taifa linakutegemea.
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Asante Outlier, nimeipenda sentensi yako ya mwisho! Naufanyia kazi ushauri wako!
   
 4. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yeah, ni muhimu. kuna tetesi kuwa wasomi wa kitz hawako makini, hawasomi etc, nikaona niku-warn usijeukadumbukia kwenye kundi hilo, itakuwa ngumu kufanikiwa; si wajua mambo ya globalization tena...
  good luck
   
 5. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #5
  May 19, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Brooklyn,

  Let it not discourage you.

  You could find your research topic even from existing research topics. What matters is the final Chapter - "Your" conclusion and "Your" recommendation that you have arrived to after doing "Your" research.

  I hope these links will help

  1. Finding an MBA Research topic --

  http://www.wbs.ac.za/system/files/Finding+a+Research+Topic.pdf

  2. This Research Report Template this could be handy --

  http://www.wbs.ac.za/system/files/Research+REPORT+template+Nov+2008.dot

  I also think that , If you could possibly choose a topic that blends in, to a 'current affair' in your area (accounting / finance) ,it is even better. As it involves you applying the concepts you have acquired in doing the MBA into practice - leading to 'your' recommendations at the end.
   
 6. Mchana

  Mchana Senior Member

  #6
  Jul 12, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ............lakini siku hizi kuna journals kibao ziko online pia waweza kukaa kwenye mtandao ukatoka na literature gunia!

  Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako.
  Mkuu naomba msaada wa kuweza kuacsess Journals stores kama JSTOR na Emerald au nyingine zozote unazoweza kurecommend zinazoweza kunisaidia katika dissertation yangu.
   
 7. b

  bnhai JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia wakati wa kuchagua research topic km willingness(interest) ya supervisor kwenye research topic, interest yako, uwezo wako wa kuifanya ikiwa too complicated inaweza kukusumbua na availability ya materials. Ninafaham vyuo hapo bongo kama UDSM, SUA na IFM, sina hakika na mzumbe wana access kwenye JSTOR na EMERALDS. Waulize kwenye libraries zao watakusaidie. Kila topic ambayo mtu anakwambia imefanywa bado inafanyika, cha msingi ni kuestablish gap Either in terms of sampling, methodologies, time span etc kwenye level ya MBA hakuna shida. Kama unashindwa sana kupata article unaweza kupost hapo unazotaka tukakufanyia mpango ukazipata kwa kukudownlodia though sorry binafsi siwezi kukupa password
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Beware of plagiarization which is one of greatest academic 'sins'. When you gather your materials for literature review dont copy word by word-simply: read, think then write but in your own words, ok?
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hili la kuuliza tu hapa JF ni topic gani ufanye, tayari inaonesha bro we mvivu....au?
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Jamani sio suala la uvivu ni exposure tu alikuwa anataka dif views aone anaimamia wapi....pia hata wengine wengi wameelimika pitia hapo....
   
 11. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  TOPIC:
  1: THE EFFECT OF TRANSFER PRICING TO THE THIRD WORLD COUNTRY: CASE STUDY BARRICK GOLD MINING/WILLIAMSON DIAMOND/ IN TANZANIA.

  "Why Barrick gold mining never paid any corporate tax to the Govt of Tanzania" . The price of Gold is very high. now is almost $1200.00 per ounce compared to $300.00 in 1995

  2: WHY BARRICK GOLD MINING THEY JUST LOOK ONLY THE FINANCIAL STATEMENT, HOW MUCH THEY MAKE, WITHOUT TAKING CARE THE ENVINROMENT DEGRADATION" Case Study Tarime. Tanzania.
   
 12. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu usimtetee...mwache ajitete mwenyewe bana....ala! Cha msingi nilichotaka kusema ni kuwa unapokuwa katika level ya masters kwa kweli kama bado unahitaji hints toka kwa wengine ili kukamilisha kazi yako ya msingi sio jambo zuri. Hata ukitaka kuandika terms of reference ili umpangie mtu kazi utaomba secreatary akupe dondoo...........tuache uvivu jamani.

  Tunatarajia at masters level, suala la kutafuniwa halipo. Just gangalama, angalia interest yako iko wapi, pitia literature, then establish knowledge gap, then fanya mambo....!

  Kama literature inakupa shida mkuu ni PM nikupatie username na password uingie Agora uzame kwenye bahari ya research journals ukome mwenyewe..!
   
 13. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mie sio mtu wa Finance ila tu ninakupa hints za research writing:
  literature review should be based on the subject (Finance) and mostly from same characters involved (in your case MBA students in your college past and present) to arrive to a conclusion that there is a need to do a research on this subject, hii kwako wewe cha kwanza ni kwenda library yako ya chuo waulize hapo wakupe list ya Thesis topic ya Finance & abstract kwa walau miaka 3 nyuma. wenzio wameanzia huko ndo maana wanajua kuwa tayari hii ilishafanyika lini na Supervisor gani. Itakuwa vigumu sana kwako kupata Problem statement kwenye title ambayo mtu kafanya mwaka jana tu. Journals na Online literature zitatumika kupata background information lakini kwa vyuo mwalimu ukimjia na topic ya mwaka jana, afu hujasema unaongeza nini au inamapungufu gani utaonekana unacheza.
  Kama muda huna soma list utakayopewa, kisha chagua ile tu unayoona unataka kuisoma au kuitumia.
   
  Last edited: Jul 13, 2009
 14. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Mi ninakushauri, look at the research problem and not a research topic. Topic si issue sana na si lazima topic ili-flect directly ulichoandika!! Topic inaweza kuwa "MY TANZANIA" lakini humo ndani ukaandikia ukimwi, rushwa, EPA, Ukabila, Udini ama siasa/uchaguzi. Cha muhimu ni research problem!!!

  Mathalani, due to current global financial crisis unaweza-angalia Tanzania imeathirika vipi katika kilimo esp cash crop exportation or real estate development/investment trend in Tanzania taking into account the mushrooming of properties in Dar es Salaam in particular and also looking at the current mortgage financing act of 2008 and its impact as foresaid.

  Ni hayo tu mkuu, unaweza kuni-PM nikupe link muhimu za kupata inputs.
   
 15. October

  October JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Just make sure to select a topic you know properly. selecting complicated topic might give you problem in establishing enough empirical evidences and linking available theories to your research. In most cases i would not advice you to pick a new topic at MBA level, Look for a study that has been done before and use a different approach to tackle your research.

  When deciding your research title you should also decide whether you are going to use Qualitative or Quantitative approach to your study. if you are going to use quantitative approach make sure you familiarise yourself hypothesis testing and interpretation of the SPSS results; otherwise you may get difficulties at the time of analysing your findings.

  Also selection of the supervisor is very crucial, In many cases supervisor will tend to pull you in the direction of his expertise. Some supervisor are very complicated, they are never available when you need their services, some don't guide you properly, at the end of the day your research might get rejected by the external examiners, so be careful.
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Very useful thread to many incuding me.thanks to all.Kwetunikwetu achana na ubinafsi,ukiwauliza watu wote waliofanikiwa watakuambia kuwa kulikuwa na fulani mbele yangu amechangia mafanikio.Kuuliza sio ujinga.Bora uulize na ufanikiwe,sio ujifanye mjanja na ukwame mbele.
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  we usisikilize "watu" tafuta topic ambayo inakufaa na ufanye kimtazamo wako!!! hata kama imeshafanywa..unaweza kuta huyo alifanya in micro point of view sasa wewe fanya in macro point of view!! chamsingi ni kuunda scope! what is your scope na nini matarajio yako, unategemea nini ktk research topic yako. baada ya hapo anza kazi!! good luck
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sio uvivu tu hata huo mwaka uliokuwa unafanya course work sijui kama ulikuwa unajua unachokisoma..very disappointing ...halafu tunakuaj kuanza kulalamika oooh ajira hatupata wakati nafanya interviews kila siku ooh wanapendelea watoto wa wakubwa .mambo yenyewe ndo haya sasa
   
Loading...