Maombi: Takwimu za wanaojiunga na vyuo vikuu vya umma (direct from school)-Rukwa &Kig

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Ninakusalimuni nyote wanazuoni na wana JF kwa ujumla wenu!

Ninahitaji kufanya research juu ya vikwazo vya maendeleo ya elimu katika mikoa ya Rukwa na Kigoma. Ninaomba takwimu hizi kwenu, endapo miongoni mwetu wana JF, awaye yote anaweza kuwa nazo au akanielekeza mahali ninapoweza kuzipata (ku- download), nitafurahi mno!!.

"Your brain never get old unless you stop reading"- Sisimizi
 
Back
Top Bottom