Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

NAIROBI, Jan. 14 (Xinhua) -- Wikipedia Foundation has launched an offline encyclopaedia for primary and secondary schools in Kenya. The CD version named Wikipedia Offline Encyclopaedia would...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imeshatoa ajira kwa waalimu,kazi kwenu sasa!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanafunzi wa UDOM, nimeona niwawekee hii makala hapa muisome kama hamjabahatika kusoma gazeti la Tanzania daima la Leo. Namuunga mkono 100% mwandishi wa makala hii, yanayowakuta mmejitakia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MGOMO wa wanafunzi na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) umechukua sura mpya baada ya wanachuo hao kumteka na kumweka chini ya ulinzi kwa saa nne Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, John Tupa, wakitaka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, UDSM nao wameanza mgomo, kwa sasa wako utawala wakitukana, wamemaliza kuimba wimbo wa Taifa na kuelekea Nkrumah hall
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu sana kumeekuwa na mijadala hapa JF kuhusu ubora wa elimu vyuo vyetu vikuu.Wengine wamefika mbali sana na kudhani kuwa vyuo vingine ni bora kuliko vingine.Mjadala mkubwa ni kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya...
0 Reactions
233 Replies
24K Views
Ndugu wanaJF! jana katika pita pita nilikutana na mzee mmoja ambaye alinihakikishia kuwa kutoka kwenye chanzo cha uhakika amepata habari kuwa kuna polisi walirape wanafunzi wakati wamewatawanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa nilikuwa pale hazina leo nkapenda niwape tu vidokezo mwenye uwezo wa kufwatilia ajitahdi..nimekutana na wazee wawili na vijana wawili wakifwatilia yale malipo ya udom toka mwaka 2008...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
When working to reform the educational systems nowadays we often hear the mentioning of the term critical thinking in discussions about educational reform, but it's not always clear what it means...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani kwa wale waliosoma vyuo kama UDSM mnasemaje kuhusu walimu wa kibongo (Dr. & Professors)? Je ni kweli kwamba ni wanoko, au sisi wanafunzi hatuna akili, au basi tuu huwa hawataki mtu amalize...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yes -- a general explanation Hot water can in fact freeze faster than cold water for a wide range of experimental conditions. This phenomenon is extremely counter- intuitive, and surprising...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDUGU wana Jf,habari napenda niwape habari iliyotokea saa moja lililopita,kuwa hapa china Yangling katika chuo nisomacho NORTHWEST A&F UNIVERSITY mwanafunzi kutoka Bangradeshi ameuwauwa na raia...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane. Yuko na mwanafunzi...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Muda huu tayari mabibo kumewaka. na pia wamefunga barabara ya mandela kwa dakika 10. sehemu ya mabibo hostel. kesho barabarani rasmi.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
knye gazeti la leo daily newz wametoa scholaship za mastaz na phd china kwa anaehitali jipatie nakala yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…