Wana JF je hii ni haki kwa waliohitimu ST. MATHEW SEC?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF je hii ni haki kwa waliohitimu ST. MATHEW SEC??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Majighu, May 16, 2011.

 1. M

  Majighu Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndungu zangu wana JF,St. Mathew Secondary ni moja ya shule zilizo na sifa kubwa jijini Dar es salaam lakini vilevile ni shule ambayo ina mafisadi kupita kiasi kwa wale wenye ndugu zao wanosoma pale wanalitambua hilo. Imagine mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne au cha sita anaambiwa atoe Tsh. 10,000 ndo aweze kupata cheti eti kwa madai ya kwamba wamewatunzia vyeti vyao so inabidi wachangie hela ya usumbufu. Sijawahi kusikia jambo kama hili mahali popote pale labda wana JF wenzangu mnipe mawazo yenu kuhusu hili na tufanyeje ili kukomesha jambo hili lisitokee tena..
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Gomeni kulipa, andamaneni nendeni na muwalazimishe wawape vyeti vyenu, akikataa anandamaneni mpaka ikulu kudai hili.
   
Loading...