Upumbavu huu mpaka lini jamani

MJUKUU WA MKULI

New Member
Apr 22, 2011
3
0
Leo majira ya saa sita usiku kumetokea chatu mkubwa hapa udom social science
je ni sahihuhi kwa watu kwenda kujazana na kumchezea badala ya kumuua?
Je kunamadhara gani kwa watu kumchezea chatu aliye hai?
Je wako sahihi
 
wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu?
 
kwan chatu si mnyama tu, watu washaingiza u trad chem....
ikumbukwe udom ipo maeneo mengi bado ni porini, unafkir vitu kama hivyo vitakosekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom