Udsm na miaka 50 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm na miaka 50

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mende dume2, May 16, 2011.

 1. m

  mende dume2 Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau, kwanini UDSM inalazimisha kusherekea miaka 50, tangu kuanzishwa kwake, ilhali mwaka 1995 chini ya Chancellor wao wa Kwanza JK Nyerere walisherekea miaka 25? are they more right today than in 1995? au ni siasa?

  kama 1995 walisherekea miaka 25, miaka 50 ilipaswa kuwa 2020, kwa halisia kuwa hajawahi kuwa na UDSM kabla ya 1970.

  naomba kuwasilisha
   
Loading...