Msaada wa kuendesha maabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuendesha maabara

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyaluanda, May 12, 2011.

 1. n

  nyaluanda New Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii tumekuwa tukilalamika sana juu ya ufaulu wa wanafunzi juu ya hasa masomo ya sayansi bila kutoa suluhisho la tatizo hilo hasa kwa shule za kata. Sisi hapa Ngara mkoa wa kagera kama vijana tumejinga pamoja chini ya mwavuli wa cbo yetu nakufikiri kuanzisha maabara ya masomo ya sayansi kwa wanafunzi wanaosoma masomo hayo huku wakitokea majumbani mwao ili wakiwa na muda wao wa ziada waweze kutumia center hiyo kujiongezea maarifa zaidi kwani vifaa vya practical havipatikani kwenye shule zao na hivyo waweze kutumia kituo hicho ili waweze kufanya mitihani yao kutumia kituo hicho. kituo hicho pia kitakuwa na huduma ya maktaba kwa vitabu vya sayansi kwani hapa ngara hakuna community library. kwa yeyote ambaye anaweza kutusaidia ili tupate vifaa( chemicals and apparatus) tungekaribisha msaada huo napia tutaweza kumtumia project plan yetu na mahitaji yetu kwa ujumla. tunaweza kuwasiliana kwa email mwijagejr@gmail.com.
  tunatanguliza shukrani ili tuweze kuwakwamua vijana wetu pia kuwa na wanasayansi imara.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mpaka sahivi ni vifaa gani mlivyonavyo?
  Chumba cha maabara na hiyo maktaba mshapata?
  Pia mngekuwa specific kusema ni vifaa gani ambavyo mnahitaji.
  Kila la heri na hongereni kwa hilo wazo.
   
 3. n

  nyaluanda New Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakushukuru kwa kutupa moyo ndugu hivi sasa tumefanikiwa kupata chumba chakuweka maabara na maktaba toka halimashauri ya wilaya ya ngara. Kuhusu vifaa mtu yeyote anayeweza kutusaidia chemicals na apparatus zinazotumika mashuleni kwa ujumla tutamshukuru nitaweka list ya vifaa hapa jamvini hivi karibuni.
   
Loading...