Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by engmtolera, May 13, 2011.

1. engmtolera

engmtolera Verified User

#1
May 13, 2011
Joined: Oct 21, 2010
Messages: 5,081
Likes Received: 58
Trophy Points: 145
Sina hakika lakini hebu tuiangalie hii imekaaje?

Kuorodhesha vyuo vikuu kulingana na umaarufu ni desturi inayokua kwa kasi sana katika sekta ya elimu ya juu.

Orodha hiyo, inayojumuisha vyuo vikuu vilivyo maarufu zaidi duniani, ina walakini kwani bara zima halimo.

Hutapata hata chuo kimoja kutoka bara la Afrika kwenye orodha hiyo.

Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa ni vya Marekani, Ulaya na baadhi kutoka China na Korea Kusini huku Afrika ikiwa imesahaulika.

Mazungumzo yanayohusu utandawazi wa vyuo vikuu yanatumia lugha ya kuvutia iliyorembwa kwa mada ya ushirikiano wa kimataifa, pamoja na mzunguko wa fedha katika mitandao ya kimataifa.

Ni rahisi sana kupotoshwa na mafanikio ya vyuo hivi ambavyo mazoea ni kuwatunukia watu tuzo na kujionyesha.

Swali ni, ikiwa ushindani wa kimataifa wa vyuo hivi utajikita katika hadhi na uwezo wa vyuo vichache, na hivyo basi bara zima likasahaulika, mambo yatakuwa vipi?

BBC Swahili - Habari - Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi

2. Anfaal

Anfaal JF-Expert Member

#2
May 13, 2011
Joined: Jan 19, 2010
Messages: 1,157
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

Hivi unafaham tafsiri ya umasikini? Nchi zetu ni masikini saana na huo umasikini si wa chakula na makazi bali uhaba na ubora wa elimu. Wenzetu si wanagawa tuzo na kuionyesha bali wanafanya kazi. Jiulizie hao maprofesa wamefanya tafiti ngapi na zipi ni muhimu kwa mazingira yetu? Ratio ya walimu na wanafunzi ikoje? Mazingira ya kujifunzia je? Vipo vyuo bora Africa ila vinapatikana kwenye top 500 km Pretoria cha Africa ya kusini. Wengi tunaamini katika tunayoyaona na siku ukiona mengine utaamini kwamba tupo nyuma sn. Ukipata fursa ya kupitia andiko la mwanafunzi wa chuo kikuu utakimbia. Assignment wanacopy kwenye net na kupaste. Yaani vyuoni kuna watu wanatumia materials ya 1990's. Inasikitisha sn. Uwekezaji wa kwenye elimu unatakiwa uwe endelevu lakini bila political will ni kazi bure!

3. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#3
May 13, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
Ni sawa tu. Elimu inayotolewa kwa wenzetu haijafikia hata robo na hii inayotolewa kwetu.
Mazingira mabaya ya kusoma, kucopy na kupaste. Wengine wanasoma huku wana stress kibao za boom, majukumu ya kifamilia + migogoro, walimu hovyo.
Lazima vyuo vyetu viendelee kushika mikia.

4. n

njemba fulani Member

#4
May 14, 2011
Joined: Jan 27, 2010
Messages: 94
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
well said man

5. data

data JF-Expert Member

#5
May 14, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 16,774
Likes Received: 6,537
Trophy Points: 280
........ No Thank you.... your Brilliance is your lead... haijalishi umesoma wapi? una kichwa(akili) saafiii.. au cha mchina? Elimu ya TZ ni Bora.. ila ma garaduate ndo FAKE

6. NgumiJiwe

NgumiJiwe JF-Expert Member

#6
May 14, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 867
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
eti haijalishi umesoma wapi?nyie ndiye mnaodhani elimu ni kukaa madarasani na kukariri tu kama kasuku

7. Kabembe

Kabembe JF-Expert Member

#7
May 14, 2011
Joined: Feb 11, 2009
Messages: 2,236
Likes Received: 928
Trophy Points: 280
90% ya MBA's from 2000 to date are fake

8. engmtolera

engmtolera Verified User

#8
May 15, 2011
Joined: Oct 21, 2010
Messages: 5,081
Likes Received: 58
Trophy Points: 145
duuuu,mkuu hii kali ,tupe data bana,usitufanye tukawafukuza watu kazi

9. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#9
May 15, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
ubora upo wapi na kwa vipi watu wapate elimu bora na bado wawe hovyo?

10. Anfaal

Anfaal JF-Expert Member

#10
May 15, 2011
Joined: Jan 19, 2010
Messages: 1,157
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

endelea kujidanganya. Na hiyo elimu unayoita bora, vitabu vimeandikwa na watu gani! Wake up man unaweza kujifanya mjuaji kumbe huo ujuaji hauwezi kucross border. Elimu inachechemea hakuna kitu. Jipange ukajiendeleze kwenye elimu km hujafanya hivyo km hutakuja kuedit comment yako!

11. Anfaal

Anfaal JF-Expert Member

#11
May 15, 2011
Joined: Jan 19, 2010
Messages: 1,157
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

endelea kujidanganya. Na hiyo elimu unayoita bora, vitabu vimeandikwa na watu gani! Wake up man unaweza kujifanya mjuaji kumbe huo ujuaji hauwezi kucross border. Elimu inachechemea hakuna kitu. Jipange ukajiendeleze kwenye elimu km hujafanya hivyo km hutakuja kuedit comment yako!

12. g

gracious86 JF-Expert Member

#12
May 16, 2011
Joined: Mar 25, 2011
Messages: 433
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
naunga mkono a hundred percent!

13. Mwanamalundi

Mwanamalundi JF-Expert Member

#13
May 16, 2011
Joined: Aug 30, 2007
Messages: 3,034
Likes Received: 396
Trophy Points: 180
This is like saying: watoto wangu chakula ninachowapikia kina virutubisho vyote vya kujenga mwili tatizo lenu nyie wanangu ni kwamba mna ugonjwa wa kwashakoo

14. engmtolera

engmtolera Verified User

#14
May 16, 2011
Joined: Oct 21, 2010
Messages: 5,081
Likes Received: 58
Trophy Points: 145
UKIMAANISHA NINI KIONGOZI?
kwamba Elimu yetu inakwashakooo?

Loading...