Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kiukweli nowadays post za shule za A level ni vurugu. Ina maana gani mwanafunzi kujaza celform kuchagua shule then baada ya matokeo unapangiwa shule tofauti? Asilimia kubwa ya wanafunzi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu ninaomba kujua ni masomo mangapi na majina yake hufundishwa ktk dipl.ya computer engineering hapo D.I.T
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada jamani kuhusu database administration..vp hii inakuweje?..na kaz zake zpo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kama unaenda kanisani au masjid. Hakuna kuvaa nguo zinazoonesha maungo ya ndan mathalan vimin, vipedo, tait, vitop, kuvaa mlegezo, pensi n.k. Hii nimeipenda! WELCOME CBE SEMINARY!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wale mliosoma Pugu Sekondari kati ya mwaka 1985 -'90's Headmaster Mwalimu Amoni Mtera amefariki dunia jana saa 12 asubuhi kwa kugongwa na gari akiwa pamoja na mkewe na jirani yake wakati...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi umekuwa nyenzo muhimu ktk kurithisha maarifa kwa wanafunzi,hasa wale ambao wanajifunza taratibu [ slow learners ]. Tumejaribu hili hapa kibangu na tumeona matokeo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba munisaidie mwanangu amechaguliwa shule hiyo f 5 naomba kujuwa naweza kufikaje kutokea mbeya? Wasifu wa shule na jambo lolote kuhusu shule hiyo amechaguliwa pcm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naombeni mnieleze usomaji wa open university je kuna full lecture faida na hasara zake please niko serious nataka nkachukue BBA msinikashifu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau, asante kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kujifunza moja au mawili toka kwenu kuhusiana na mada hii ya shule ya bweni au boarding school. Je ni wakati gani dhana hii iliingizwa ktk mfumo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012. Orodha ya wanafunzi hao hii hapa: Majina ya...
1 Reactions
37 Replies
26K Views
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu, huku idadi yao ikishuka kwa asilimia 13.34 ikilinganishwa na mwaka jana...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Shule ya Wavulana Songea na Shule ya Wavulana Tabora hazipo kwenye orodha ya shule zinazojulikana na Serikali ingawa zimepangiwa wanafunzi wa kidato cha tano.Kwa hali hiyo,Sule zilizopangiwa...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
jaman naomba niulize nitapataje school selection form four 2011?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WALIMU WAKUU watano wa shule za msingi Manispaa ya Temeke jijini wamevuliwa vyeo vyao kwa kosa la kubainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba iliyofanywa mwaka jana nchini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasikitisha mpaka leo wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka jana, hawajapangiwa shule mpaka leo,wenzao wa private walishaanza tarehe 6 mwezi 3.hawa watoto wa walala hoi wataweza kweli...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tunapaswa kufanya upembuzi yakinifu kutokana na ubora wa elimu wanayo ipata watoto baada ya kuhitimu elimu ya sekondari je ?inazingatia ubora
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Ivi ni kweli post zimetoka?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, IFM wanatoa MBA - IB kwa ushirikiano na Indian Institute of Foreign Trade. Nani anayefahamu kama digrii ya chuo hiki inatambuliwa na TCU. Nisije nikaingia mkenge....Pia nijuzeni kama kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, ukipitia rufaa za mtihani wa taifa form 4 mwaka jana 2011, only one student got her results changed from F to D in Basic mathematics. Kama ni hivyo, hongera NECTA for that high degree of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom