Dhana ya "boarding school" ilitoka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhana ya "boarding school" ilitoka wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mtafungwa, Mar 27, 2012.

 1. m

  mtafungwa Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau, asante kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kujifunza moja au mawili toka kwenu kuhusiana na mada hii ya shule ya bweni au boarding school. Je ni wakati gani dhana hii iliingizwa ktk mfumo wa elimu ya Tanzania? Nani mhusika mkuu? Je kulikuwa na kitu kama hiki kabla ya wageni wa mwanzo (waarabu) kufika Tanzania? Shukrani za awali.
   
 2. m

  mtafungwa Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, mbona hamsemi kitu...mpo kimyaa, mnaangalia tu.
   
Loading...