MBA - Internatinal Business ya IFM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MBA - Internatinal Business ya IFM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Insabhunsa Gusa, Mar 27, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  IFM wanatoa MBA - IB kwa ushirikiano na Indian Institute of Foreign Trade. Nani anayefahamu kama digrii ya chuo hiki inatambuliwa na TCU. Nisije nikaingia mkenge....Pia nijuzeni kama kuna vyuo hapa TZ vinavyotoa nondo hiyo, asanteni kwa majibu yenye tija.....
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Inatambulika.
   
Loading...