Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi, unanyo rahishisha ushirikiswaji -kibangu schools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi, unanyo rahishisha ushirikiswaji -kibangu schools

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ABBY MAGWAI, Mar 28, 2012.

 1. A

  ABBY MAGWAI Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi umekuwa nyenzo muhimu ktk kurithisha maarifa kwa wanafunzi,hasa wale ambao wanajifunza taratibu [ slow learners ]. Tumejaribu hili hapa kibangu na tumeona matokeo mazuri tu.
  Watoto wasio na viwango sawa vya kufikiri wanaweza kumudu kujiamini na kujishirikisha ,kitu ambacho kina mpa mtoto
  kujitambua na kujiona sehemu ya mfumo wa kujifunza. vile vile vikundi vina jenga urafiki na kutiana moyo kitu ambacho ni sehemu ya kufanikisha uwanja wa kufikiri.
   
Loading...