Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kasigi, Mar 21, 2012.

 1. K

  Kasigi Senior Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 2. d

  deecharity JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  mzaz huyo anaandka "aarrghhh" ndio nini unamaanisha mzaz mwenzangu.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Si ndio hapo. Mi nimesoma pre form five hadi nimechoka. Watoe majina twende zetu skonga.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  usiwe na hofu utapelekwa tu huko kantalamba..
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Shule hazina walimu hasa wa A' Level kwahiyo hata kama utapangwa ujue ukienda huko ni mtaji wa maskini yaani nguvu zako mwenyewe ndizo zitakazokutoa
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umesoma ya HGL wanakupanga ECA cjui ndo utakuwa umefanya nini
   
 7. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,416
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Nimesikia bado wanafanya selection huko Arusha
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,389
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Daaah yani umenikumbusha mbali enzi hizo nikaripoti but palivo pagumu sikumaliza hata mwezi nikarudi home
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  nishapangiwa shule yangu. Nataka yatoke tuanze rasmi.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  nimeshapangiwa ninachoenda kusoma. Nataka yatoke rasmi na wengine wajijue.
   
 11. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Selection tayari bado hawajaweka rasmi lakn hali mbaya sana shule zimekosa wanafunzi hasa comb za arts labda science ndo wamejitahd kuselect...na shule zilizokuwa zinategemea kuanzisha A level mwaka huu wasahau wanafunzi hakuna walifeli sana..habar ndo hyo! source: chumba cha selection Arusha via mawasiliano ya sm!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  teh teh we sema ilibalance combi moja tu na siyo kwamba ulipangiwa wakati selection hazijatoka
   
 13. L

  Lweye Senior Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Mkuu naona hauna uelewa wa kutosha na majukumu ya hizi taasisi za serikali. Jukumu la NECTA ni kutunga mitihani na kutoa matokeo. Wakishatoa matokeo kazi yao inaishia hapo wanasubiri uchaguliwe wakule kichwa tena. Kazi ya kufanya selection ni kazi ya wizara.
   
 14. R

  Rickyrich Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  History ndio imeangusha raia, na business mwaka huu ilikua balaa sana, ngoja tuone tunatupiwa wapi maana www.moe.go.tz kwa sasa haipatikani hewan...
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  taarifa ni kwamba wakuu wa shule zenye A-level walitakiwa wafike arusha tangu tarehe 28/02/2012 lakini wakiwa wanajiandaa kwenda wakapewa taarifa yakutokwenda hadi watakapotangaziwa tena, pasi na shaka huenda hadi sasa bado hawajapewa taarifa ya kwenda.
   
 16. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  Matokeo chakachuzi,seleksheni fukuzi...
   
 17. R

  Rickyrich Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Skul nyingine za private wana wiki 2 sasa shuleni...
  Alaf kuchelewesha hivi ndio kunasababisha uchakachuaji...
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,214
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Karibu St. Mary's Teachers College.
   
 19. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,108
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We unaona Kanta ndo jehanamu eeh! Sisi tumekwenda Kanta tukakamua Wani kali kuliko za wanafunzi waliosoma ST. Chokuleti, tumegonga vyuo na tuna kazi nzuri. Ninaiheshima Kanta sana tolea mfano shule yako.

  Kama vipi baki mjini aafu ishia billz wikiendi nini afu usublie matokeo...
   
 20. d

  dr chris Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na baadhi ya shule karibu wanafungua shule kama njoss wanafungua 28.03.2012 hivyo wazaz tujiweke sawa mapema.tuwe tayari cku na saa yoyote
   
Loading...