Kwanini waliomaliza kidato cha 4 hajapangiwa shule mpaka leo?

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Inasikitisha mpaka leo wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka jana, hawajapangiwa shule mpaka leo,wenzao wa private walishaanza tarehe 6 mwezi 3.hawa watoto wa walala hoi wataweza kweli kupambana na hawa wamatajiri?wenzao wako darasani wao wanazurura
 
sasa hivi wapo busy Arumeru Mashariki. wataanza kupanga baada yamatokeo kutangazwa
 
Inasikitisha mpaka leo wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka jana, hawajapangiwa shule mpaka leo,wenzao wa private walishaanza tarehe 6 mwezi 3.hawa watoto wa walala hoi wataweza kweli kupambana na hawa wamatajiri?wenzao wako darasani wao wanazurura

Hili linchi si limeshakuwa la kibepari!!!
 
usijali wadau tumefuatilia imebainika kua hata wanafunzi waliopata BDD,CCD,DDC,ADD,DAD katika combi zao hasa HKL wamepangiwa shule.lakin mwisho ni div.111.25
 
ngoja watoke kwanza arumeru! Ila muwaombee washinde vnginevyo mtapangiwa combi ambazo hata hamjaziomba
 
Nchi yetu inaendaga na matukio as if hawana wizara.habari za elimu haziwezi kuendelea wakati siasa arumeru masharik iko jkoni.subiri kwanza wamalize 1.
 
wadau mwenye contact za shule ya Oswald Mang'ombe naomba anipatie, ipo musoma vijijini.
 
Back
Top Bottom