Mwl amoni mtera is no more | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwl amoni mtera is no more

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanamilembe, Mar 22, 2012.

 1. m

  mwanamilembe Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale mliosoma Pugu Sekondari kati ya mwaka 1985 -'90's Headmaster Mwalimu Amoni Mtera amefariki dunia jana saa 12 asubuhi kwa kugongwa na gari akiwa pamoja na mkewe na jirani yake wakati wanaeleke Mwisho wa lami Gongo lamboto. kupanda gari kueleke mjini.

  Marehemu pamoja na mkewe walifunga ndoa mwaka 1985 wakati wote wakiwa walimu wa Pugu.

  Ex Pugu PCM class 1987
   
 2. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  It is very sad,mkewe ambaye pia ni marehemu sasa anaitwa Mwl Edith Kabwoto
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Pole nyingi kwa wafiwa, na RIP kwa hao marehemu
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Walikuwa wanaenda KKKT Azania Front kusali kila asubuhi....ikiwemo hiyo jana
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  RIP Mwalimu weti AMON MTERA.
  Haya magari haya, yatatumaliza mwaka huu..............Eee Mwenye enzi Mungu tuepushe na hili Jinamizi la Magari yarabialamina
   
 6. rfjt

  rfjt Senior Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Dah! Rest in peace headmaster wangu wa zamani. Nakumbuka sana ubunifu wako wa weekly test ambao ulituwezesha sisi wanafunzi wako kuzidisha bidii katika masomo na hivyo kufanya vizuri ktk mitihani yetu ya mwisho. RIP!

  Ex-student 1984 - 87.
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  RIP Mwl Mtera
  Hivi hajawahi kuwa mwalimu pale Tambaza kuchukua nafasi ya Mwl Mushi?
   
 8. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  Jamani huyu alikuwa Mkuu wetu Kahororo pia. Alikuja kuoa akiwa mtu mzima huko Pugu maana aliondoka Kahororo akiwa mseja. Alikuwa mbunifu na aliisadia sana TISS kila mahali apopita kupata vijana wazuri wa idara hiyo.
  RIP Mtera
   
 9. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  R.I.P Mwl nyie ndio wakombozi wa taifa hili
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  R.I. P mwalimu.

  Pole kwa wote walioguswa na msiba...
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  R.I.P Mwalimu mwenzangu kwani nimefundisha nae,wakati nakaa ktk nyumba ile aliyekaa Mwal nyerere
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ndio huyu...alikuja Tambaza 1993/4 akitokea Pugu Secondary kuchukua nafasi ya Mwl Mushi baada ya Tambaza kusambaratishwa kutokana na mafujo fujo.

  RIP Baba na Mama Mtera.
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  R.I.P mwl Amoni. Na poleni wote mlioguswa na msiba huu.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  So sad jinsi maisha ya mtanzania yasivyo na thamani. Pole kwa watoto wao kwa kupoteza wazazi wao wote kwa mpigo. Mungu awape nguvu
   
 15. brainiac89

  brainiac89 Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.I.P DAD n' MAM
   
 16. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  R.i.p mwalimu mtera
   
 17. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  R.I.P Mwl Mtera mm ex '82 sikumuacha Mwakanga
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Ina maana wote wamekufa mbaya sana. pumzikeni salama.
   
Loading...