Selection kidato cha tano: Shule hazipo,zapangiwa wanafunzi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Selection kidato cha tano: Shule hazipo,zapangiwa wanafunzi...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 27, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Shule ya Wavulana Songea na Shule ya Wavulana Tabora hazipo kwenye orodha ya shule zinazojulikana na Serikali ingawa zimepangiwa wanafunzi wa kidato cha tano.Kwa hali hiyo,Sule zilizopangiwa wanafunzi ni 133 na si 131 zilizoelezwa na Serikali.Jamani NECTA hata hili?!

  DIBAJI​
  Kitabu hiki kimeorodhesha wanafunzi wote wa kiumewaliochaguliwa kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundimwaka ​
  2012. Wanafunzi 22,138 wamechaguliwa kujiungakatika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya Kidato cha 5na masomo 12 ya Vyuo vya UfundiJumla ya shule za serikali zilizopangiwa wanafunzi wa Kidatocha 5 mwaka 2012 ni 201. Shule walizopangiwa wanafunziwavulana ni 131 zikiwemo shule 97 za wavulana pekee na shule
  34 ​
  zinazochukua wasichana na wavulana. Shule hizizimetawanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara kamainavyooneshwa katika jedwali lililoambatishwa.Wanafunzi wamepangwa kulingana na shule walizofanyiamitihani ya Kidato cha 4 mwaka 2011. Majina ya shule hiziyamepangwa Ki-alfabeti kuanzia A mpaka Z. Katika kila shulewanafunzi waliopata nafasi ya kwenda Kidato cha 5 na Vyuovya Ufundi wameorodheshwa pamoja na shule/vyuowanavyokwenda na machaguo yao. Kwa sababu hiyo, kitabuhiki kinarahisisha kumtafuta mwanafunzi aliyechaguliwa Kidatocha 5 na Vyuo vya Ufundi endapo utajua shule atokayomwanafunzi huyo. Aidha kwa kutumia kitabu hiki, idadi yawanafunzi kwa majina ya waliopangwa Kidato cha 5 na Vyuovya Ufundi kwa kila shule imeoneshwa.
  C. Philemon​
  Kaimu Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari​
  Machi 2012


   
 2. Ally chilima

  Ally chilima Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba kujua zaidi kuhusu sumbawanga sec school
   
Loading...