Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wenyenchi vp kuhusu ratiba ya msosi minaki?vp bori linachezeka au?vp kwa Pcm ushirikiano upo au mizinguo,naskia maji tatzo vp kuhusu vyoo?
0 Reactions
7 Replies
8K Views
naomba kuuliza kama bodi ya mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) huwa inatoa mikopo kwa watu wanaotaka kuchukua Master. Kama wanatoa hiyo mikopo kwa Master je, utaratibu wa ku apply ni sawa na wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE. WHAT A BIG SHAME.o
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hivi form five tunaoenda government tunaanza lini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimepata hiv PHY=D CHEM=D BIOS=D MATH=F GEO=C LANG=C CIV =B KISW=D NA HIST =C JE NNAWEZA KUJIUNGA NA CHUO CHOCHOTE KUXOMA COMPUTER SCIENCE COZ NDO ILIKUA NDOTO YNGU NA NDO NA INTEREST NA...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Mie ni mmoja kati ya wanafunzi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je kuna mtu aliyeisoma sera ya Elimu ya Tz? Je amesoma nini? Tukiwa kijiweni, kuna stori kwamba Tanzania haina sera ya Elimu, je ni kweli? Wasomi na wanaharakati wanahaha kutafuta 'mwarobaini' juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Sengerema sekondari ijoke kwa sasa?.Please nisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Walimu, Tafadhali tafuta kitabu tajwa hapo juu kabla wanafunzi wako au wazazi hawajakipata ili kuepuka aibu ya kufundisha vitu vilivyopitwa na wakati. Kimeandikwa na mwandishi nguli wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamuni wadau na wahusika wengine., Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa. Tafadhali tujulisheni hapa.
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Habari wana jf kwa moyo moja napenda kuungana na waungwana wote wenye mapenzi mema na maadili ya inchi yetu kuwapongeza wana CBE Kwa msimamo wao wa mavazi waliotoa ifahamike ukiitwa msomi siyo tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
inasikitisha sana unapopita saa mbili na nusu au zaidi nakuwakuta eti wanasubiri mabasi enzi zangu bana kumi na moja ndio ulikuwa muda muafaka sasa yanini leo saa mbili na nusu asubuhi ndio mda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), Dk.Joyce Ndalichako Wanafunzi wengi wanaomaliza elimu ya msingi mwaka huu, inahofiwa kuwa wengi wanaweza kufeli mitihani yao ya darasa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina mwanangu kachaguliwa sec.ya Lwangwa pcm baada ya mahangaiko nimefanikiwa kujuwa shule ipo rungwe mbeya ni km kadhaa ktoka mj wa tukuyu ila hawa ndiyo wanaenda kuanza yaani shule ilikuwa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba kujua mambo ambayo mara nyingi huitajika hasa unapotaka kujaza fomu za scholaship kwa kutumia online application kwa wanaotaka kusoma shahada ya awali na pia zip code huwa ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu wa kiume ambaye amemaliza kidato cha nne 2011. Hata hiivyo, nahisi kama hakutendewa haki kutokana na shule ambayo amepangiwa kwa masomo ya kidato cha tano na sita. Pamoja na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie syllabus za masomo yaliyo kwenye mchepuo wa HGL msaada wenu unahitajika ndugu zangu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…