past papers

GABE100

Member
Mar 27, 2012
51
2
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na national form four hivyo ninaomba kwa yeyote mwenye kujua website yenye hizo past paper anijuze. atakuwa amenisaidia sana. ahsante nawasilisha.
 
nipe tenda mimi niwe nakuletea hizo past paperz mpaka za mitahala ya kenya,uganda,rwanda na burundi..karibu..
 
ni vizuri ukatoa linki ya kuipata ili na wengine wafaidike any way unapatikana wap mkubwa.
 
Back
Top Bottom