Je sera ya Elimu ya Tz ipoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sera ya Elimu ya Tz ipoje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Mar 30, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Je kuna mtu aliyeisoma sera ya Elimu ya Tz? Je amesoma nini? Tukiwa kijiweni, kuna stori kwamba Tanzania haina sera ya Elimu, je ni kweli? Wasomi na wanaharakati wanahaha kutafuta 'mwarobaini' juu la kuporomoka kwa Elimu, lakini, sijawahi kusikia hata mmoja akisema mapungufu ya sera.
   
Loading...