Nataka kujua mambo kuhusu minaki high school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kujua mambo kuhusu minaki high school

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Van dixon, Mar 31, 2012.

 1. V

  Van dixon Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa minaki form five 2012 PCM...ningependa kujua maisha kwa ujumla,vipi kuhusu msosi,ratiba za mabwenini,vipi kuhusu mpira maana napenda sana,eti wanaruhusiwa kutoka weekend...ni hayo afu kama kuna form five tutakayeanza nae anitafute hapa:-0718891984
   
Loading...