Pongezi kwa chuo cha cbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi kwa chuo cha cbe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vitalino mlelwa, Mar 30, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf kwa moyo moja napenda kuungana na waungwana wote wenye mapenzi mema na maadili ya inchi yetu kuwapongeza wana CBE Kwa msimamo wao wa mavazi waliotoa ifahamike ukiitwa msomi siyo tu kupata mshahara na kufanya kazi bali unawajibu pia wa kuwa na muonekano kama msomi siyo kama changudoa ili hata wale wenye uwezo mdogo kifikra wajifunze kutoka kwa wasomi namna ya kuvaa kuishi nk pia mavazi yananafasikubwa kumtambulisha mtu kwa jamii kama vile unaweza kumtambua huyu ni changudoa kwa vaa nusu uchi,vinguo vya kubana ili watu waione biashara yake au kumwona meneja au mkurungenzi fulani aliye valia suti au nguo za heshima huwezi hata kuhoji nani mkurugenzi au meneja katika kundi hivo nawashukuru cbe kwanza kwa kutambua nafasi yao katika jamii na kuamuakufanya kwa vitendo pia kwa namna ya pekee redio clauds fm na vyombo vyote vya habari vilivochukulia swala hili kwa umuhimu.sasa ni zamu ya vyuo vilivobaki na hata wasimamia mashindano ya miss tanzania kuona ni namna wanavoweza kuendesha mashindano hayo bila kuathili utamaduni wetu hasa kimavazi kama kutembea na vichupi stejini.
  Mwisho napenda kutoa rai kwa wanasiasa wa zarendo kuungana na cbe siyo tu kuhamasisha wanavyuo bali hata katika ngazi yamaeneo yao ya kiutawala.
  Pia ifahamike siyo kila linalotoka ulaya nilakuiga badae mtaiga hata ndoa za jinsia moja.
  NB:NAJUA KUNAWATU MIONGONI MWAO WAKIWEMO WASOMI WATAONA KITU CHA KIJINGA NA KISHAMBA. SAWA UNAWEZA KUONA HIVO LAKINI NI AFADHARI KUWA MSHAMBA KATIKATI YA KUNDI LA WENDA WAZIMU KWANI UTAKUWA MJANJA MBELE YA WATU TIMAMU.
  NA ALAMA YA MWENDAWAZIMU NI KUCHA CHAFU.
   
 2. J

  Jqnakei Senior Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pongezi kwa hilo.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,154
  Likes Received: 10,504
  Trophy Points: 280
  pongezi zao cbe.
  pia kuna vyuo ambavyo walishaanza siku nyingi mfano St. Joseph university of eng. and tech Tanzania kuna nidham ya hali ya juu katika uvaaji wa wanafunzi pongezi kwao pia, hata Muhas si mbaya sana. pia nafikiri hii inatokana na nature ya shule na masomo.
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  muhas wanaume yes! Lakini vidada mkumbo ni ule ule mpaka huwa inafikia hatua wagonjwa wengine huwa wanagoma kuwa examined nao kwa kukosa imani nao. Imagine what a shame, mpaka mgonjwa anakufikiria kwamba huna kitu kichwani kutokana na ulivyovaa kwa sababu ameshindwa kutofautisha wewe na kahaba anayejiuza tena usiku! Dada zetu sijui wakoje,kahaba mwenyewe hayo mavazi mchana havai wao ndo wanavaa mchana
   
Loading...