wanafunzi wasasa full viduku

mandali

Member
Mar 13, 2012
10
4
inasikitisha sana unapopita saa mbili na nusu au zaidi nakuwakuta eti wanasubiri mabasi enzi zangu bana kumi na moja ndio ulikuwa muda muafaka sasa yanini leo saa mbili na nusu asubuhi ndio mda muafaka hawapendi shule na ndio maana kufeli kumeongezeka wanawaza viduku tuu na sio njia zipi kuwa na juhudi binafsi huwezi ukawa unasubiri kufundishwa tu huu ni ulemavu na utegemezi mbaya inabidi wanafnzi wajifunze kujitegemea
 
hata mimi inanishangaza sana mkuu, saa 2 mtu yupo stend atafaulu kweli huyo na mda gani wakusoma sasa!?
 
Back
Top Bottom