Msaada wenu wa ushauri mhimu sana!

dr chris

Member
Sep 23, 2011
76
12
Nina mwanangu kachaguliwa sec.ya Lwangwa pcm baada ya mahangaiko nimefanikiwa kujuwa shule ipo rungwe mbeya ni km kadhaa ktoka mj wa tukuyu ila hawa ndiyo wanaenda kuanza yaani shule ilikuwa na o-lev pekee mwaka huu ndiyo wanaenda kufungua kimsing kijana alikuwa na uwezo wa wastan kwani alkuwa na div.1 P17 Sasa bac kwa uzoefu wenu wana jf shule inayoanza inaweza kumpeleka kijana mbele au ndy bac kapoteza malengo yake ? nifanyeje kumsaidia? nasubili michango yenu. Nawasilisha
 
Mkuu,kama una kauwezo kidogo,jifunge mkanda umpeleke kijana shule ya private.
 
Jitahidi umuhamishe dogo. Kwa kuwa shule ni mpya huwezi kujua ina kiwango cha ufaulu kiasi gani, mara shule kama hizo walimu walewale wa 0-level ndo watawafundisha hawa A-level. Hivyo kunakuwa na uchache wa walimu husika.
 
Duh!hata mie pia broda wangu kafaulu huko,ila sahv anaenda private hyo shule hata haifai kabsa yan ndo kwanza wanaanzsha A-level eti.
 
Kufaulu si shule bali ni juhudi za mwanafunzi.

Ni kweli ila kama mazingira yatam support. Shule iko porini(huwezi kupata company ya wanafunzi jirani mbadilishane material wala walimu wa masomo ya ziada),haina maktaba wala vitabu vya kiada na ziada vya kutosha,haina walimu wa kutosha: hapo juhudi za mwanafunzi zitamvusha?
 
Mkubwa kuna shule naku PM yupo dogo amefaulu kwa kiwango cha juu peke yake shule nzima na anayemfuatia ana div iii ya mwisho na hyo shule ipo porini kwelikweli.
 
Nina mwanangu kachaguliwa sec.ya Lwangwa pcm baada ya mahangaiko nimefanikiwa kujuwa shule ipo rungwe mbeya ni km kadhaa ktoka mj wa tukuyu ila hawa ndiyo wanaenda kuanza yaani shule ilikuwa na o-lev pekee mwaka huu ndiyo wanaenda kufungua kimsing kijana alikuwa na uwezo wa wastan kwani alkuwa na div.1 P17 Sasa bac kwa uzoefu wenu wana jf shule inayoanza inaweza kumpeleka kijana mbele au ndy bac kapoteza malengo yake ? nifanyeje kumsaidia? nasubili michango yenu. Nawasilisha
huko anaenda kupoteana..awaulize walioianzisha Rungwe sec. kilichowakuta.
 
Tafuta shule iliyopo mjini mkuu...binafsi nimesoma PCM na najua mazingira yapi ni yanampasa mwanafunzi wa mchepuo huu.Kumbuka mchepuo huu ni 100% sayansi hivyo huambatana na elimu kwa vitendo "practicals",sasa sijui hiyo shule imeandaliwa vipi kufacilitate practicals.
Pili location ya shule sidhani kama itavutia waalimu,maana kwa aliyefika Tukuyu atakubaliana nami.
 
Back
Top Bottom