Uliyesoma computer science

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
nimepata hiv PHY=D CHEM=D BIOS=D MATH=F GEO=C LANG=C CIV =B KISW=D NA HIST =C JE NNAWEZA KUJIUNGA NA CHUO CHOCHOTE KUXOMA COMPUTER SCIENCE COZ NDO ILIKUA NDOTO YNGU NA NDO NA INTEREST NA COMPUTER N MPKA WANAFUNZ WENZANGU WALINIITA HACKER..XO PLZ NIXAIDIENI
 
Angalia vyuo vya binafsi unaweza unga unga had digre, hebu ulizia cbe dom, dar na mwanza wanatoa cheti, unaweza endele na diploma hadi digree
 
Labda uanzie chini na kupanda taratibu....but kama nia ipo you will make it.
 
Unaweza vyuo binafsi vipo vingi tu, ila utaanzia certificate na kuendelea hadi PHD ukiweza. Lakini unaonekana hesabu zinakusumbua maana kozi yoyote ya science bila mathematics hainogi, hesabu zipo utazikuta huko pia kuwa makini. Ila sasa hivi unaposoma ujue kabisa unasoma kwa ajili ya kuajiriwa au kujiajiri, wengi wamesoma Computer Science naona wamejiajiri ajira haina uhakika lakini ukisoma kozi nyingine pamoja na computer inakuwa poa.
 
HGL imekubali hapo.
hesabu ina matter sana lakin hakuna lisilowezekana.
St. joseph Institute of Information Technology utasoma diploma ya computer application miaka 3 then ndo utaruhusiwa kujiunga degree ambapo degree utaanzia mwaka wa pili kwa kuwa diploma yao iko sawa na mwaka wa kwanza wa BCS.
 
Prob ipo hapo kwenye F ya mathematics ilibidi iwe kuanzia D lakini usikate tamaa omba tu vyuo vya private kwa mfano RUCO ST JOSEPH OR ST JAMES Songea au anza na Certificate ya IT Then utaunga diploma inawezekana Comrade usikate tamaa
 
Chuo unapata kwa ngazi ya certficate to diploma ila tatizo mdogo wangu utapata sup nyingi sana za math kama kweli haipandi otherwise uwe na extra effort kukamilisha ndoto yako.all the best
 
Unaweza kuanzia ngazi ya diploma kwa miaka miwili hivi then ukimaliza utaunga moja kwa moja degree..nadhani kwa matokeo hayo unaweza jiunga na diploma hata UCC, au UDSM au RUCO... then ukimaliza njia nyeupe kwenye Bachelor.. Welcome to the world of Computer Science Dude!!
 
We nenda kalale uko...najua hunijui dat y! Bt wanao nijua wananishaur nifight npge computer science

Ukitaka msaada usiwe mkali.
Kwa lama zako hizo Computer Science huwezi , labda Technician yaani fundi mchundo. Kufungua kompyuta na kuisafisha utaweza tu. Lakini kazi za akili kama programming, Network Design sahau. Hesabu F halafu unajiita Hacker???.

Ni mtizamo tu Dogo.
 
dogo jaribu UCC ya mwanza nazan utapata chance,usikte tamaa kwamajibu ya watu wanaokukatisha tamaa,coz humu JF kuna watu wengne hawana msaada zaid ya kuongea pumba na kuponda
 
Ntafte nkusandshe kaka ucni chek kwa pepa yngu ya mwsho nnaweza xema ni bahat mbya nlivyo pga f math bt ckuwah pata F tangu nko 4m1..bt thnx kwa ushaur
 
Chuo unapata kwa ngazi ya certficate to diploma ila tatizo mdogo wangu utapata sup nyingi sana za math kama kweli haipandi otherwise uwe na extra effort kukamilisha ndoto yako.all the best

Thanx kaka
 
dogo jaribu UCC ya mwanza nazan utapata chance,usikte tamaa kwamajibu ya watu wanaokukatisha tamaa,coz humu JF kuna watu wengne hawana msaada zaid ya kuongea pumba na kuponda

Nimeliona hlo bro jamaa yaan ana bang kam kajiunga na xtrme ya tgo
 
Ntafte nkusandshe kaka ucni chek kwa pepa yngu ya mwsho nnaweza xema ni bahat mbya nlivyo pga f math bt ckuwah pata F tangu nko 4m1..bt thnx kwa ushaur

Penye nia pana njia lakini lazima uweke juhudi binafsi. Vile vele yaelekea unapenda kutumia sana facebook / sms / nk ndo maana hata uandishi wako ni hivyo, na inawezekana ilikuathiri pia kwenye mitihani yako. KUWA MAKINI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom