Jamani, nisaidieni!!!!!!!.

Kama ni shule ya sekondari basi itakua na majengo ya madarasa,itakua na walimu pamoja na wanafunzi pia lazima watakua wamepanda miti kwa ajili ya kivuli.
 
iko poa,inapatikana mkoani mwanza wilaya ya sengerema,ni shule kubwa sana,facilities za kutosha,kapige kitab dogo utatoka kwa juhud zako,coz unafaham advance ni msuli tembo
 
Back
Top Bottom