past papers

GABE100

Member
Mar 27, 2012
51
2
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na national form four hivyo ninaomba kwa yeyote mwenye kujua website yenye hizo past paper anijuze. atakuwa amenisaidia sana. ahsante nawasilisha.
 
za masomo gani?
 
masomo yote coz nataka kituo kiwe kina masomo yote ila mimi ninahitaji zaidi civics, history and geography mkubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom