Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomben kujua course ambazo wanaztoa hawa UCC.maana nataka nijiunge.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NEWS! NEWS! NEWS! * OLAS* Loan Applications will be open from April 16 to June 30, 2012! Source:HESLB website!
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Wakuu.naomba tukutane bodi ya mikopo tar 16/4/2012.tukalianzishe pale hawa jamaa kama ni usanii wametufanyia vya kutosha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanaJF naomba mwenye taarifa kuhusu hiki chuo anijuze, je wana evening prog hasa kozi za Sayansi kama Geomatics? Chuo kiko kawe, au Bagamoyo? Ubora?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa Jf naomben mnisaidie kwa yeyote anayejua jinsi ya kuwa mpelelezi(spy)wa taifa kwa yeyote anayejua kuhusu hili.
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wadau naitaji muongozo wa hatua za kufata kusajili chuo kwaajili ya kutoa kozi fupi (short courses) za mambo mbalimbali hasa human resources management.naomba muongozo wenu wadau.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wenzangu naombeni mnisaidie jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili,au kama kuna website ya kuweza kuyapata nipeni asanteni.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nimeamini, hatuna haja ya kupiga kelele sana na kuwanyooshea viongozi wa serikali ya nchi yetu vidole kwakuwa wao wanatoka katika 'pool' yetu watanzania tusio na upeo wa kuona mbali, kufikiri kwa...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Habari zenu wanajamii,kwa wale tuliosoma MTWARA GIRL'S SECONDARY, Nasikia eti Mwl. Ngwada(Ngwadakulima) amefariki july mwaka jana,anaefahamu anijuze. Kwa wasiomfahamu Ngwada, alikuwa mwalimu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeamini, hatuna haja ya kupiga kelele sana na kuwanyooshea viongozi wa serikali ya nchi yetu vidole kwakuwa wao wanatoka katika 'pool' yetu watanzania tusio na upeo wa kuona mbali, kufikiri kwa...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Jamani mi nimechaguliwa Bagamoyo sec naombeni mnisaidie details zake kama skuli ni nzuli au la
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha Udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education pamoja na Natural science hawajapewa hela za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
poleni na mihangaiko wakuu, nina shida moja naombeni orodha ya vyuo vya canada vinavyonipa admission ya masters bila TOEFL na GRE....wakuu nisaidieni wajemeni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu. Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics. Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
`Sign language is the main cause for the deaf students in Tanzania to fail their National exams be it standard 7 or form 4 and form 6 because of the nature of the language(sign language) that it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wan JF Mimi ni Mhitumu wa shahada ya kwanza Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya masomo ya degree yangu ya kwanza nikapata kazi Iringa. Katika kuangalia mstakabali wa kujiendeleza...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Kamati ya wazee haikubaliani na uamuzi wa kuwafutia matokeo wanafunzi wale tu walioshutumiwa kufanya udanganyifu bali kuwafutia wote kwa kuwa mitihani ulivuja. Kufuatia hoja hizo za msingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanafunzi wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Najiuliza hili swali, mbona shule za international na maacademy hakuna viboko, au shule za wahindi na watu wanafaulu. hivi hakuna njia nyingine ya kuwaadabisha vijana wetu? mi naona viboko ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom