Adhabu ya ajabu kwa shule ya msingi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adhabu ya ajabu kwa shule ya msingi.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Apr 13, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini (sakafuni) siku nzima.
  Wakati wa kuingia darasani asubuhi, wanafunzi wa darasa la 4, 6 & 7 waliofanya mtihani wa asubuhi, huitwa majina na kuruhusiwa kuingiza madawati watakayokalia. Wanafunzi wasiofanya mtihani hupewa adhabu ya kukaa chini siku nzima.
   
 2. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  saafi sana
   
 3. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  saafi sana.Mhe.P.Mrungo hajui.Ngoja niwapigie wanaharakati wapatembelee.
   
Loading...