Nashukuru Mungu nimepata 'Merit' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashukuru Mungu nimepata 'Merit'

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Feedback, Apr 11, 2012.

 1. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
  Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics.
  Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15 toka mataifa mbalimbali Mtanzania nikiwa pekeyangu.
  Mmoja tu ndiye aliyepata Distinction, mmoja Merit ambaye ndiye mimi waliobaki wote PASS kweli Mungu ni mkuu.

  Sasa narudi nyumbani tusaidiane kuikomboa nchi hakuna kulala hadi kieleweke.
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hongera karibu kwenye mapambano.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Usije nyumbani utakua fustrated sana,huku ujanja wako tu vyeti mbwembwe!!
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Pamoja mkuu.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mzee nyumbani ni nyumbani tu vya huku tunawaachia wenyewe, wote tukiishia huku nani atamlea mtoto Tanganyika anayezaliwa upya hivi karibuni.
   
 6. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  huku nje bwana tunapasikia tu k wala sipakubali, tunaishi kwa tabu tu...uhuru hamna..wakati mwingine ubaguzi wa waziwazi.... to me hom z hom!! shule ikiisha basi ni bongo tu... hongera kaka kila la heri katika mapambano....
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Asante Songito, mimi binafsi nilitamka wazi baada ya shule lazima nikatumike nyumbani regardless ya hali yake. Si kwamba nashindwa kupata kazi huku lakini huwa najiuliza kama tukiwaza kila anayekuja harudi tutaendelea kuilaum serikali milele. Nimefanyakazi huku ughaibuni nimelipa TAX nyingi sana zaidi ya tuition fees niliyolipa, sasa naamua angalau kodi hiyo ikusanywe na TRA watoto wangu watafaidi hata kama sio mimi.
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Hongera sana mkuu na karibu home!
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280

  kumbe we kichwa ehee
  Hongera Mkuu,
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu nimekaribia nimepamiss sana home.
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Asante Kituko ni Mungu tu ndiye muweza wa yote.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hongera na Karibu kwenye hii tamthia tujumuike kuigiza pamoja maana hii maisha ya waTZ sasa ni kama tamthilia
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  hongera sana kwa pass nzuri. pia nakupongeza kwa ia ya dhati ya kurudi home. mm nilikuwa somewhere nasoma tulikuwa wa tz 4 ktk vyuo tofauti but wawili wamebaki huko wakadai wanapenda kufana kazi huko. binafsi niliona maisha ya nje ni mabaya ukicompare na ya kwetu. hasa kwa kipengele cha vyakula na ufree pia na matumiz ya hela.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu, haya maigizo naona yako ukingoni kinachotakiwa ni kuweka madarakani watu wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa, nafikiri tunaweza.
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Nashukuru gfsonwin, ni kweli mkuu pamoja na mambo mengi ya huku ikiwemo TAX kubwa ambayo karibu nusu unailipa kwa nchi ambayo watoto na wazazi wako hawatafaidi, suala la uhuru nalo ni muhimu sana. Socialization pia nayo imechukua nafasi kubwa sana kwa uamuzi wangu wa kurudi. Hongera pia na wewe kwa uamuzi huo wa kurudi nyumbani.
   
Loading...