Habari zenu wana MTWARA GIRL'S,LY '2003 jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari zenu wana MTWARA GIRL'S,LY '2003 jamani.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Madame B, Apr 12, 2012.

 1. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,235
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wanajamii,kwa wale tuliosoma MTWARA GIRL'S SECONDARY, Nasikia eti Mwl. Ngwada(Ngwadakulima) amefariki july mwaka jana,anaefahamu anijuze.

  Kwa wasiomfahamu Ngwada, alikuwa mwalimu wa Biology pale shuleni,vilevile ndo mwl aliekuwa anaogopewa kuliko mwl.yoyote pale Mtwara Girl's sekondari.

  NAOMBA MNIJUZE HII FUNUNU wana JF.
   
 2. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  aaah kumbe we ni mdogo kiumri kiasi hk,hilo jina madame b lilikuwa linanitisha nikafikiri ni mmama aliyekula viroba vya humvi.
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,235
  Trophy Points: 280
  He! Ebwana e! Me mdogo sana? Acha hzo Nimekula chumvi godown 2.
   
 4. Z

  Zanland Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eeheeee
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hajafa. kwani nani kakuambia kafa?
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,442
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Mie kuna mdada mmoja alikuwa anasoma pale nilikuwa nam-date, alikuwa hachoki kumwongelea huyu mwalimu. Usikute ni wewe?
   
 7. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  alihama akapewa u headmaster masasi vjjn, bt cjackia kma amefariki.vp mwl ndossi hujamkumbuka? miss madovena jee?

  bt me LY 2002.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,907
  Likes Received: 14,510
  Trophy Points: 280
  Hv hii shule ni mchanganyiko au geloz tu? Nataka nimpeleke kijana wangu pale naskia pale ni wataalam wa biology.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Kwahyo madame B una miaka 25 tu kumbe? Ngoja nije kutoa posa nikuwowe!
   
 10. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  madame unakumbuka maeneo haya?mangamba,naliendele,msijute,tandika, Lilungu magereza,magomeni kwa kinyogoli,shangani,hahahahaha mimi nilikuwa mtwara tech mwaka 2000.
   
Loading...