Tumaini university hakuna kitu, ni ubabaishaji tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumaini university hakuna kitu, ni ubabaishaji tu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by rifwima, Apr 10, 2012.

 1. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Habari wan JF
  Mimi ni Mhitumu wa shahada ya kwanza Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya masomo ya degree yangu ya kwanza nikapata kazi Iringa. Katika kuangalia mstakabali wa kujiendeleza nikaamua kujoin na kusoma Postgraduate Chuo Kikuu cha Tumaini - Iringa.
  Mwaka jana 29[SUP]th[/SUP] October 2011, niligraduate Tumaini University. Vifuatavyo ni baadhi ya vitu ambavyo vinanifanaya ni discredit chuo hiki:

  1. Toka mwaka jana October, 2011 nilitakiwa (Tulitakiwa) niwe/tuwe tumepewa award certificates na Zawadi (Fedha) katika fani mbalimbali lakini mpaka dakika hii hakuna aliyepewa hizo awards. Nimefanya michakato ya hapa na pale kufuatilia hii kitu kwa wahusika, imeshindikana. Haya ni kati ya majawabu nilopewa (i) Njoo wiki ijayo nilijibiwa more than twice (ii) Aliyekuwa anashughulikia mwanzo kabadilishiwa ofisi (Kitengo) (iii) Anayeprint kasafiri (iv) Printer inamatatizo (iv) Vyeti vilikosewa so vinaprintiwa upya (v) Nipe No yako vikiwa tayari ntakujulisha. Niliargue nao sana na kuwapa live on how the University suppose to be called Shule ya Kata na wala siyo Chuo kikiuu (Cause vyuo kikuuu hakuna upuuzi kama huo).
  2. Mda wa kuchukua transcripts ulipofika nilijongea nikiwa na vitu vyote vinavyohitajika. Majibu yalikuwa kama yale yale ya juu. Nikamface DPAA ni kaargue naye kwa mbali akaelewa hasa nilipomwambia (Haya mnayotufanyia ndo tunawasaidia kuwatangazia chuo chenu kwamba ndo huduma zenu ziko hivyo). Akaimove Issue siku hiyohiyo nikapata transcript lakini ikiwa na mapungufu yafuatayo (i) Kuna kozi ilikuwa imekosewa kabisa kuandikwa jina lake, jina la programme pia likiwa limekosewa. Pamoja na hayo yote transcript ikawa imesainiwa na DPAA pamoja na Provost..They assented the tracscipt. Mimi niliona hayo makosa mara tu nilipoishika mkononi. Nikajaribu kufanya mpango namna ya kurekebisha makosa yale, ikarekebishwa lakini ikatoka ikiwa na kosa jingine jipya kabisa. Nilichoka kabisa alafu nikajilaamu sana kwa nini nimesoma chuo cha ubabaishaji namna hii especially at administrative level? Watu tunaamua kusoma kwa malengo, nakupata matokea mapema ni kitu cha msingi sana kwa mwanafunzi yeyote. I am not proud to be amongst the Tumaini University Graduates, because toka nigraduate bado sijapata nilichointend. Kwa sababu pamoja na mambo mengine qualifications zangu Tumaini pia ni sehemu kubwa ya CV yangu kukamilisha mambo mengine ikiwemo kuendlea na masomo anywhere in this World.
  3. Baada ya kufanya clearance chuo kinatakiwa kukulipe TZS 50,000 kupita CRB or NBC account ya mwanafunzu husika. Mpaka ninapoandika hakuna kitu. Ubabaishaji wa kutisha. Mambo kama haya ni lazima yakome kwenye vyuo vyetu.

  Nilijaribu kufuatilia kujua utaratibu na namna wanavyofanya kazi pale Tumaini; haya yalijitokeza:

  1. Ajira zinapewa kindugu na efficiency ya mtu katika kazi haingaliwi kabisa (mfano, ofisi inayoshughulikia transcripts na certificates, makosa kila wakati? Siyo ishara njema kwa chuo. Ukiwa mhehe no problem you have an employment at Tumaini University – Iringa College. Angalizo, kwenye fani kama mathematics na Computer might not be the case.
  2. Accountability ya ufanyaji kazi haipo kabisa kwa sababu ya ndugu kushindwa kunyosheena mikono. Kila mtu anajifanyia mambo yake tu, ukienda kwa huyu ukitegemea ni mkubwa atamuwajibisha huyu...wapi,ndo kwanza anafurahi na danadana zinaendlea.
  Ombi langu ni kwamba, TCU waangalie namna ya kufuta vyuo kama HIVI KWANI HAKINA SIFA ZA KUTOSHA KUITWA CHUO KIKUU. CHUO KIKUU PAMOJA NA MAMBO MENGINE YA MSINGI KINATAKIWA KISIWE SEHEMU YA UBABAISHAJI KATIKA UTENDAJI NA UTEKELEZAJI WA MAMBO YA MSINGI KWA WAKATI.
  Naomba kuwasilisha, mwenye hoja tofauti kuhusu chuo hiki, na vyuo vingine vya namna hii Tanzania huu ndo wakati wake, jimwage hapa jamvini.

  Naomba ujikite kwenye hoja za msingi, siyo umbea na utani!!!!!.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  We nae ulikosa vyuo vya kusoma hadi ukasome huko mashenzini?
   
 3. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hapana Mkuu, Mazingira ya kazi ndo yalinifanyanisome hapa. Pia programme ilikuwa ya jioni so flexibility ilikuwepo. Ndo vile naona nouma sasa. Nahisi kama sijasoma kabisa Hiyo postgraduate though nilikuwa nafanya personal effort kuhakikisha napiga vizuri course. Ni noma mkuu.

   
 4. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vp ruco chenyewe kipoje?
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona hata wewe kidhungu chako hapo kama cha kwao....usiwakandie thana maana huna tofauti nao thaaana wala nini!
   
 6. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,255
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mjinga tu,au unataka 2jue umepata nafasi leeds?. Hovyo kbs yan badala ya kukaa nao mjadili hayo mapungufu wewe unakuja kujianika hapa...hayo makosa ya trnscrpt mbona ni vyuo vyote yanajitokeza tu.
   
 7. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mimi wala sikuelewi. Labda wenzangu waliofika university watakusaidia.
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  The guy is complaining about standards in our universities which have drastically fallen and some of you guys instead of taking his concerns seriously are taking them as jokes!! If we do not rectify some of these anomalies in our institutions of higher learning, we will have a difficult time competing in the job market against our East African community partners.
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kamata ankoli L.b.w. tafuta toto njuli ya ukwel ikabembeleze..Kufutwa chuo n ngumu wale wahehe..naskia mume mwalim,mke Libray,shemej usafi,wifi kupika,interview wanafanya kihehe,ama kibena beh Ndauli! uniaa!
   
 10. The Eagle2012

  The Eagle2012 Senior Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Too general,kwamba makosa hayo yapo kila chuo hayageuki na kuwa usahihi!!
   
 11. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hapana ndugu! I think I am better than theirs. Actually my comment was not structured wholly in Swahili. Similarly, you should now that knowing a particular language doesn't justify your knowledge ability. This might not be the case for Tanzanians cause I understand English is one among the languages of Instruction especially at Higher education. I master this language boy. For Chinese, not knowing English better, doesn't tell that they are not knowledgeable on Issues.

  Respond using English language to see whether you have the authority to question my English language ability.


   
 12. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Thanks mzee! Nikikujibu unavyostahili pengine naweza kuwa mbovu kuliko wewe. Kujadiliana nao nini? How comes the same transcript iliyokosewa from the first time itoke ikiwe imekosewa mara tatu zaidi? Does this make sense to you?

  Read between lines you will understand what actually 'm talking about.

   
 13. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  RUKO kwa kweli sielewi.

   
 14. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  rifwima acha ujinga bwana. Mambo madogo umeyakuza. ndio maana umesoma postgrad diploma instead of masters kwa sababu umepata pass udsm. Kukosewa matokeo hata udsm ipo hiyo hali. kuna watu wamepewa transcript picha tofauti au kozi inaonyesha supp wakati mtu ulishaclear. Hapo Tumaini walimu wao kibao nawajua wamesoma udsm kwa hiyo naamini hadhi ni kama ya udsm sema hupendi kusema ukweli.
  Huko ulaya ulikopata na vyeti nusu ni pa kiboya sana. Ungeomba university za public za ulaya uone kama usingetoswa. Hizo private nyingi za kitapeli sana.
  Fikiria kabla ya kuandika ubora wa chuo ni elimu hayo mengine ni administrative na si academic stds...
   
 15. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Kwenye red:1. Kwa uelewa wako I can see unajaribu kulinganisha Postgraduate Diploma na Diploma? Alafu pia haujui kwa nini kuna Postgraduate programmes katika vyuo mbalimbali kote Duniani. Unatakakutuaminisha kwamba wote wanaofanya postgraduate Diploma ni kutaka kupata grade walizozikosa wakati wa undergraduate? Hiko hivi, Lets say nimefanya Bachelor katika field ya Environment then nikapata kazi katika field ya sheria, haitaniitaji kupoteza miaka minne kusoma sheria ila kupata sifa za sheria badala yake I can pursue Postgraduate Diploma in Law for one year na kuwa na sifa sawasawa na mtu aliyesoma sheria miaka minne. Similarly, mtu aliyefanya sheria na anafanya kazi katika field ya education haimuhitaji kwenda kusoma miaka mitatu ili kuwa mwalimu na badala yake atafanya PGDE for one year na kuwa mwalimu kamili kama alivyo yule aliyesoma miaka mitatu au minne. Kwa nchi nyingine including the so you called the European Republic Universities after you take Postgraduate Diploma na Ukafanya vizuri, you can just qualify to pursue PhD. So dont confuse Postgraduate Diploma with Ordinary Diploma. Kufanya Postgraduate ili kupata credits kwa mjibu wa mantiki yako siyo lengo lake.

  Kwenyer Red: 2. I don't condemn kukosewa transcripts at once, but I disagree transcripts ilokosewa ikarekebishwa marambili ikiwa bado imekosewa, tena makosa tofauti na ya mwanzo!! Is this okay with you? Mind you sijalaumu upande wa walimu hata maramoja though kunaweza kukawa na matatizo pia. Section ya kudeal na transcripts and other certificates haitakiwi kuwa ya mzaa kwa namna nilivyoelezea hapo juu.

  Kwenye red: 3. Hizo university za Ulaya tena the leading University in UK ndo nimeapply na nimepata Unconditional Admission, for instance one of the University nilopata kwenye rank ya UK ni ya 14. Worldwide iko kwenye top 100. Just have a homework to find which University is that. I never failed during my Undergraduate at UDSM 2008. Kwependa kwako kusoma hapa home siyo kila mtu. I am looking for the new tests in abroad ukimix na home napata kitu sawia.

  Kwenye red: 4. Ubora ya Chuo ni Academics na siyo Administrative. Go back to class my friend you will find out on how administrative inputs lead to quality academics. Hakuna asiyejua kwamba ubovu wa elimu Tanzania ni kwa sababu ya poor administration kwenye sector ya Elimu. Wewe tu ndo haujui.

  Just be fair to accept the challenges I have provided to better the education system in Tanzania. Be a good adviser to them, please.
   
 16. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  nina shahada ya utawala hivi nikiomba PGDE ya medicine inakubalika!!!
  msaada
   
 17. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata udom ubabaishaji ni wa kufa mtu tangu tumalize chuo mwezi wa nane had leo hii hatujapata hata transicripts!!,ni danadana kwa kwenda mbele!.Tatzo ni udugu na siasa vinavyoharibu vyuo vyetu.Kwa mfano leo leo eti makamu wa rais kapewa ukuu wa chuo cha Nelson mandela Arusha!,hv wewe unategemea nin kama cyo bla bla tu?Shame on them!
   
 18. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  PGDE ya medicine ndo nini mkuu? PGDE means Post Graduate Diploma in Education? However, its very possible for MD to have Postgraduate Diploma in administration and the related fields. Watu walio kwenye field za Afya kuna utaratibu na aina za Postgraduate Diploma wanazoweza kusoma within their fields na nje ya field yao. Lakini siyo rahisi kwa mtu kutoka kwenye field za social sciences kufanya Postgraduiate ya medicine, May be kwenye Issues kama environmental and public health. Siyo pure medicine. Jaribu kufuatilia kwenye prospectuses zao or ask anybody in the medical field.
   
 19. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Mchumipesa: Haya mambo lazima yakome sababu yamepitwa na wakati kabisa. Hatuwezi kupambana na changamoto za 21st century kwa kufumbia macho mambo ya ajabu namna hii. Tutabaki kuwa nyuma siku zote. Ebu nambie, lini utapata kazi bila academic transcript, for the case unatafuta kazi kwa misingi ya qualifications zako ambazo lazima serious employers pamoja na mambo mengine lazima aone transcript yako?

  Sasa hivi ni kipindi cha kufanya applications za Masters vyuo mbalimbili nchini na nnje ya nchi, for the case you want to do so utafanya lini hizo applications? Tutabaki kutetea ujinga nchi kama kenya wana grab fulsa mbalimbali tena mpaka nchini kwetu. We must condemn this loudly and confidently.

   
 20. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  bila ww nisingejua..........!!! aksante
   
Loading...