CBE kuandamana kupinga sheria ya mavazi

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Wanafunzi wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha wazi tumbo, kifua na kiuno. Pichani hapo chini ni sehemu ya tangazo lenyewe hapo chuoni likionyesha mifano ya mavazi yaliyopigwa marufuku.

552286_400391069988409_100000525597189_1458472_477520496_n.jpg
 
kweli TZ tunaendelea
bado maandamo ya vichaa tu kupinga kufukuzwa mjini
na mwisho maandamano ya machangudoa na mateja kupinga kunyanyaswa

kila mtu siku hizi anajua 'haki zake' lol
 
Tujulishe njia watakayopita mkuu tuwasubili na maaokora hawa mbwa kabisa!!..... ndio watajuwa kwamba tunahitaji maadili kwa vijana wetu.
 
kweli TZ tunaendelea
bado maandamo ya vichaa tu kupinga kufukuzwa mjini
na mwisho maandamano ya machangudoa na mateja kupinga kunyanyaswa

kila mtu siku hizi anajua 'haki zake' lol
Kenya machangu waliandamana kwa kunyanyaswa.
wanadai kua umalaya sio kosa kisheria (true in Kenya), kosa ni kuita wateja.
Ila kama wamekaa tu wakiwasubiri basi hamna kosa.
sasa wamechoka kutengwa katika jamii, kunyanyaswa na polisi,
kua harassed and abused na wateja etc. wanadai protection from the State.
 
the fact kwamba tunazungumzia 'malaya kuandamana'
kwenye thread inahusu wanafunzi wa chuo.....
that speaks volume ya aina ya wanafunzi wa vyuo TZ inayo....
 
Kuna sheria moja ilikuwa inajaribu ku-control machangu to “openly solicit customers in the street.” Changu mwenyewe akajifanya mjanja, akawa ana anakaa ndani ya nyumba huku aki-tap dirishani to attract the attention of men walking by. Mahakamani akadai alikuwa hafanyi uchangu in the street. Hapo ungekuwa hakimu ungeamua kivipi?
 
the fact kwamba tunazungumzia 'malaya kuandamana'
kwenye thread inahusu wanafunzi wa chuo.....
that speaks volume ya aina ya wanafunzi wa vyuo TZ inayo....
Nimekuelewa, na ndio maana nilitaka kusema kua yamesha tokea
Kenya hapa jirani tu watu kama machangu wanadai haki zao,
wakati sisi tunaona kama they are doing wrong, wanataka more
na hawa wanafunzi lazima wanaona wanahaki ya kujiamulia mavazi
Uongozi unataka kuwasaidia kujistiri, wenyewe wanaona wanaonewa.

Kuna sheria moja ilikuwa inajaribu ku-control machangu to “openly solicit customers in the street.” Changu mwenyewe akajifanya mjanja, akawa ana anakaa ndani ya nyumba huku aki-tap dirishani to attract the attention of men walking by. Mahakamani akadai alikuwa hafanyi uchangu in the street. Hapo ungekuwa hakimu ungeamua kivipi?
Ningesema: if the prostitute OR the customer are is in the street it is an offence.
they don't need to be in the street at the same time for the solicitation to be an offence
 
  • Thanks
Reactions: EMT
bwana wacha wavae bana mie sioni tatizo lolote kwanza sie twajidai tuu tuna maadili hamna lolote kama tungekuwa tuna maadili tusingefika huku.....so myt as well focus on other things na sio wanafunzi wamevaa nini
 
Sidhani kama kuna ukweli ktk hili la maandamano!
Bse lazima wapewe kibali na uko polisi watasema wanaandamana kwa ajili ya nini?Kutembea uchi?
Na kama wakiandamana ama sure wengi watakuwa mabinti ni kuwatafuta ring leaders na timua chuo wote pumbavu sana.
Wamekuja kusoma au kuinadi miili yao?
 
Wanafunzi
wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga
sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali
zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha wazi tumbo,
kifua na kiuno. Pichani hapo chini ni sehemu ya tangazo lenyewe hapo
chuoni likionyesha mifano ya mavazi yaliyopigwa marufuku.
552286_400391069988409_100000525597189_1458472_477520496_n.jpg
huyu mwenye kata K anapatikana wapi nikajifunze hahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom